Ccm hoyeee.....!!!!zana za kisasa za kutuliza ghasia..........elimu fedha hakuna......? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ccm hoyeee.....!!!!zana za kisasa za kutuliza ghasia..........elimu fedha hakuna......?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by sinafungu, Sep 8, 2012.

 1. sinafungu

  sinafungu JF-Expert Member

  #1
  Sep 8, 2012
  Joined: Feb 13, 2010
  Messages: 1,405
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  Wanafunzi wanaposoma katika mazingira magumu kwa kukosa madawati hawawezi kuelewa soma, shule nyingi nchini zina upungufu wa madawati kutokana na ruzuku ndogo katika sekta hiyo. Picha na Mtandao.
   
 2. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #2
  Sep 8, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Ccm juu, juuuu! Kwa kuleta umaskini? Juuuuu! Kwa uongo? Juuuuuu! Kwa ufisadi? Juuuuu!
   
 3. Munambefu

  Munambefu JF-Expert Member

  #3
  Sep 8, 2012
  Joined: Jun 24, 2012
  Messages: 894
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 60
  Nahisi 2015 watanunua ndege,helikopta na nyambizi za kutuliza ghasia bila kusahau vile wanavyoita "kitu kizito"hiki ndicho chama twawala bwana!wana msemo wao "kupanga ni kuchagua"wamechagua kuwapa mama wajawazito bajaj huku wao wakitumia ndege za chini,walichagua umma ule nyasi lakini mkuu wa kaya apate ndege ya kifahari,wamechagua kuwaua wote wanaohatarisha uwepo wao madarakani kuliko wao kuondoka,wamechagua kuwaua wezi wa kuku lakini wale wanaokwapua mabilioni wanawaomba warudishe yaishe.Kupanga ni kuchagu ndugu!
   
Loading...