Kahawa:hivi kiwanda kama tanganyika coffee curing limited kipo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kahawa:hivi kiwanda kama tanganyika coffee curing limited kipo?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mabwepand, Sep 8, 2012.

 1. m

  mabwepand Member

  #1
  Sep 8, 2012
  Joined: Jul 16, 2012
  Messages: 84
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Nimesoma kuwa Board ya kahawa wanategemea kueport kahawa before tax 320Bn!sasa najiuliza kipindi cha nyuma kulikuwa na kiwanda cha kahawa hapo Moshi,sasa hawa jamaa Kahawa yao wanaitolea wapi au ni kwa watu binafsi,serikali angalieni viwanda vyenu msije mkavisahau,Hope now kile kimebaki Gofu ukilinganisha na Mbinga pamoja na Mbozi
   
 2. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #2
  Sep 8, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Itakuwa imeliwa kitambo na mafisadi kitambo Kamanda wangu!

  Serikali tawala ni tishio kwa raia wake Kamanda!
  Ngoja wadau waje!
   
 3. m

  mnduoeye Senior Member

  #3
  Sep 8, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 166
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kiwanda kipo lkini kiko hoi kibiashara tangu serikali iruhusu makampuni binafsi yanayonunua kahawa kuwa na viwanda vyao vya kubangua kahawa. Sasa hivi wanategemea sana kahawa ya kutoka chama cha Ushirika cha K.N.C.U,ambayo ni kidogo ukilinganisha na uwezo wa COFFEE CURING.
   
Loading...