Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mambo vp wadau? Ebwana na mpango wa kuanza ujenzi wa nyumba ya gorofa, tatizo naambiwa kuwa ili kujenga nyumba ya gorofa, kuna utaratibu wa kufuata ili kupata kibali, kwamba kuna ishu ya ramani...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Gender and Well-Being Around the World Carol Graham and Soumya Chattopadhyay examine gender differences around world— comparing age, income, education and location— and the...
0 Reactions
0 Replies
975 Views
WAKILI WA MAHAKA YA ICC AMEKAMATWA NCHINI LIBYA ALIPOKUA MAEKWENDA KUMHOJI MTOTO WA GADDAFI. INASEMEKANA ALIMPA NYARAKA ZA SIRI. SOURCE: HABARI ZA MITAA: WAKILI WA ICC KIZUIZINI NCHINI LIBYA
0 Reactions
0 Replies
1K Views
13 September 2012 Last updated at 06:14 ET By John JamesBBC News For visitors to Yamoussoukro, the official capital of Ivory Coast and the birth place of its first president, the...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Katika kutekeleza sheria za nchi, nchini misri waliyekuwa waziri mkuu katika utawala wa hossan mubaraka amehukumiwa jela miaka 3 kwa kosa la ufisadi. Tanzania sheria ni kwa ajili ya nani?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna habari kwamba baadhi ya vigogo wa Jeshi la Polisi na mfanyabiashara mmoja waliotajwa na Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Mzee Reginald Abraham Mengi watafikishwa mahakamani kwa...
0 Reactions
35 Replies
8K Views
Tunaomba wadau wa maendeleo Tanzania kuchangia mawazo chanya ili kuboresha uzinduzi huo wa kitaifa siku ya tar;05/10/12..jijini Mwanza..TTN ni taasisi mpya ambayo imeanzishwa na kusajiliwa na...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Lukuvi kuhamia Chadema. Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wadau naomba kufahamishwa kwanini walimu wa Kenya wanaendelea na mgomo hata baada ya serikali kukimbilia mahakamani? Na walimu wa Tanzania walirudi kazini hata kabla ya rais wa chama chao...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani chama cha wakulima wa mpunga Ruvu CHAURU wamefanyiwa vitendo vya kifisadi na viongozi wao baada ya kulipia mashamba kwa ajili ya kilimo cha umwagiliaji na wengine kujikuta wakikosa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Madaktari nchini kenya wameanza mgomo leo hii nchi nzima kushinikiza wenzao ni zaidi ya 393 walisimamishwa kazi katika mgomo wa awali warudishwe kazini....source k24 news
0 Reactions
5 Replies
1K Views
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM, Pius Msekwa anatarajia kuiuzia Serikali ya Wilaya ya Ukerewe nyumba yake iliyo katika eneo la Bomani mjini Nansio ambayo imekuwa ikitumiwa na viongozi wa ngazi ya kitaifa...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Kabla ya Mwangosi kumetokea mambo mengi ya kuashiria manyanyaso kwa wandishi wa habari kama vile kumwagiwa tindikali kwa Saed kubenea jambo ambalo lilikuwa kiashiria kibaya na endapo mngeungana na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
kwa siku richmond walilipwa milioni 152 kwa miezi 21 = siku 21x30=630 watanzania wote hadi leo hatujafika milioni 50 umeme hawajazalisha, kama pesa hii tungeamua kuwagawia taslimu watanzania basi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wana JF napenda kusema ya moyoni. Hivi ni kweli tulikuwa tunateseka wadanganyika kwa mgao bandia wa umeme? Mbona tangu wachukue wizara hawa jamaa hatuoni tena mgao isipokuwa kama kuna hitilafu ya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa yeyote atakayefanikiwa kumwona awasiliane kwa namba zifuatazo: +255 784 215 559 +255 767 215 559
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nilikuwa nafuatilia kila nikifungua jamii forum haipiti week lazima kutakuwa na habari ya lawama au kashfa kwa ndugu yetu kibonde wa clouds radio na kipindi cha jahazi. Kwanza nimegundua kipindi...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
ujenzi wa daraja la kigamboni umeanza hv karbuni na ujenzi huo utakao chukua mda wa miaka mi 3 hadi kukamilika utakua ukidhaminiwa na mfuko wa NSSF,.Je wana JF wenzangu hii kweli co sababu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WAKAZI zaidi ya 3,000 wa Bugudadi, Mbagala katika Manispaa ya Temeke jijini Dar es Salaam wako mbioni kuondolewa kwenye maeneo wanayoishi mabondeni ili kupisha uhakiki na tathimini ya nyumba...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Adha ya msongamano wa foleni barabarani kwa wakazi wa Jiji la Dar es Salaam huenda ikapungua makali kuanzia mwezi ujao treni ya abiria kutoka Steshenni hadi Ubungo itakapoanza kutoa huduma...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…