Procedures ili uweze kujenga nyumba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Procedures ili uweze kujenga nyumba

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Manteeq, Aug 23, 2012.

 1. Manteeq

  Manteeq Member

  #1
  Aug 23, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mambo vp wadau? Ebwana na mpango wa kuanza ujenzi wa nyumba ya gorofa, tatizo naambiwa kuwa ili kujenga nyumba ya gorofa, kuna utaratibu wa kufuata ili kupata kibali, kwamba kuna ishu ya ramani yangu ya nyumba kuipeleka wizara ya ardhi kukaguliwa na procedure nyingine kibao.

  Ningependa kujua kama hizi procedure ni zipo kweli, kama ni za lazima au la, na more importantly ni hizo procedure zenyewe ili nijue nianzie wapi na niishie wapi. Website ya wizara ya ardhi haisaidii kabisaa, haina hata information za maana, email nazo zinagoma kwenda na nipo tight kazini kusema kwenda hapo wizarani.

  Any help i 'll really appreciate, thanks
   
 2. N

  Nguto JF-Expert Member

  #2
  Aug 23, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,654
  Likes Received: 630
  Trophy Points: 280
  Unahitaji kuwa na mhandisi atakaesimamia ujenzi. Kama kiwanja kimepimwa lazima uombe kibali cha ujenzi manispaa yako. Otherwise kama hakijapimwa basi mhandisi wako anatosha. Jua kwamba kuna vitu vingi vya kuzingatia kama ukubwa wa nondo, uchangaji wa saruji n.k. hivyo mhandisi ni lazima.
   
 3. Manteeq

  Manteeq Member

  #3
  Aug 23, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  So kama hakijapimwa namhitaji mhandisi tu na sio procedures za kwenda wizara ya ardhi?
   
 4. N

  Nguto JF-Expert Member

  #4
  Sep 14, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,654
  Likes Received: 630
  Trophy Points: 280
  Huna haja ya kwenda wizara ya ardhi. Ila hakikisha kiwanja chako hakimo kwenye mipango miji, hivyo ni muhimu kucheki wizarani kabla hujaanza kukiendeleza.
   
 5. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #5
  Sep 14, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,334
  Likes Received: 22,186
  Trophy Points: 280
  Nenda municipal idara ya upimaji na ramani utapewa maelekeze na vitu vya kufuata ili uanze ujenzi
   
Loading...