Hivi wanahabari si mlisema hamtaandika/kuriport taarifa za polisi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi wanahabari si mlisema hamtaandika/kuriport taarifa za polisi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Nyalotsi, Sep 13, 2012.

 1. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #1
  Sep 13, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,104
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  Mbona mmerusha habari za kova kuhusu ponda? Na ile ya nchimbi alipokuwa anakabidhiwa vifaa na kuwaasa polisi? Au mmeahirisha ili mpate posho ya leo?
   
 2. Nyenyere

  Nyenyere JF-Expert Member

  #2
  Sep 13, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,567
  Likes Received: 1,931
  Trophy Points: 280
  Ule ulikuwa upepo tu! Tena CHANNEL 10 ndo wa mwanzo kurusha kwa raha zao! Bongo kila kada imerogwa.
   
 3. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #3
  Sep 13, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Watanzania wa kada zote za kitaaluma hawana msimamo. Angalia madaktari na walimu Kenya wanavyoihenyesha serikali. Kwetu wachache wakipewa chochote kitu wanawauza wenzao. Hivyo usitegemee wanahabari wagome. Watamgomeaje Kova wakati hawamilki vyombo vya habari? Hivi unategemea vituo vya habari vinavyomilkiwa na wahindi na mafisadi kama Rostam vinaweza kumsusa Kova? Na istoshe wengi wa waajiri wa vituo vya mafisadi ni waandishi mafisi wanaosaka ngawira bila kujali ethics wala rights. Mifano mizuri ni Prince Bagenda, Muhingo Rweyemamu, Salva Rweyemamu, Gideon Shoo na wengine wengi.
   
 4. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #4
  Sep 13, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,104
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  yaani leo nilivyoona vile ch 10 nikaizima, star nikaizima, itv nikaizima. Tbc ndo niliifuta kwenye mtandao. Nikaenda al jazeera kuangalia maandamano ya waarabu.
   
 5. m

  mzeelapa JF-Expert Member

  #5
  Sep 14, 2012
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 1,034
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Yakheee, ukisusa wenzio twalaaa..!
   
Loading...