Matamko yanayotatanisha kuhusu kuuawa kwa Mwangosi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matamko yanayotatanisha kuhusu kuuawa kwa Mwangosi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by nkisumuno, Sep 13, 2012.

 1. n

  nkisumuno JF-Expert Member

  #1
  Sep 13, 2012
  Joined: May 22, 2012
  Messages: 209
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kamhanda; ameuawa na kitu kizito kilichorushwa na wananchi.

  Nchimbi: Nimeunda tume kuchunguza mauaji hayo

  Nchimbi: Mwangosi ameuawa na bomu.

  Matamshi hayo yana utata kwani baada ya kuona picha kitu kizito kimeyeyuka na kuwa kimya.

  Wakati tume sijui kamati inaendelea Nchimbi ameingilia kamati yake na kusema ni kweli aliuawa na bomu sasa mbona kuna ubabaishaji kama amejua aliyefyatua bomu tena kwa makusudi tume inafanya kazi gani. Lakini yule kamanda aliyetoa amri ya kupiga bomu na kujaribu kupotosha ukweli mbona yuko nje kwa nini asijumuishwe kwenye kesi hiyo? Au yule aliyekamatwa kama muuaji ni feki katolewa jela ili kuzuga wananchi? kama siyo mbona anafichwa sana au ndo filamu nyingine ya polisi.

  Nawashauri polisi na serikali waache kujidhalilisha na kutuona wananchi kama mazuzu vinginevyo wanatoa somo kuwa kweli wameshindwa kutatua tatizo lililowazi watawezaje kutuletea maendeleo kwa udhaifua wa wazi huu?
   
 2. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #2
  Sep 13, 2012
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,229
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  kuhusu hilo la kuwa inawezekana jamaa katoka jela naliunga mkono...ndio maana haoneshi uso wake? halafu siku ile kwenye picha inaonesha aliyefyatua alikuwa jamaa kakomaa sana, sasa huyu wa 23yeras katoka wapi?
   
 3. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #3
  Sep 13, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Mimi nashauri wahalifu wote walio maabusu wagome nao wapewe haki ya kuundiwa TUME/KAMATI kwaajili ya makosa yao hata kama walikamatwa live wakiwa wanavunja sheria. Inashangaza kuona uhalifu ulio wazi unaundiwa mizengwe namna hii. Ndiyo maana tunaamini kuwa, kuna kitu mahususi kinafichwa hapa.
   
 4. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #4
  Sep 13, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,744
  Likes Received: 1,455
  Trophy Points: 280
  Nadhani aliyetoa hiyo kauli na Paul Chagonja wa Police HQ. Aliitoa siku iliyofuata baada ya tukio, kama sikosei.
   
 5. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #5
  Sep 13, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,744
  Likes Received: 1,455
  Trophy Points: 280
  Bonge la ushauri!

  Na wewe itabidi Waziri "ambaye hana mfano" akuundie tume kwa kutoa ushauri huu!!! LOL
   
 6. K

  Kidzude JF-Expert Member

  #6
  Sep 13, 2012
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 2,730
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Kiini macho tu, nimegoogle jina la mhalifu hapatikani , sijui alisomea wapi. Maana kuanzai 2007 majina ya form four wote yalikuwa yanatoka kwenye mtandao na shule zake. Labda alisomea ulaya, kama kuna mtu ashawahi soma na huyo kijana atwambie la sivyo ni changa lamacho. Yule jamaa alikuwa mwembamba kakomaa, mrefu sio mpana . Tungekuwa na wachunguzi makini kwa zile picha zilizopo tungejua tu ni nai, ila sasa hatuna muda na waandishi wetu pia sijui wamelala?.
   
 7. K

  Kifarutz JF-Expert Member

  #7
  Sep 13, 2012
  Joined: Aug 7, 2012
  Messages: 1,694
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Hamia airtel sasa
   
 8. m

  mazegenuka Member

  #8
  Sep 13, 2012
  Joined: Aug 10, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  2015 tu ndo dawa yao
   
 9. N

  Nguto JF-Expert Member

  #9
  Sep 14, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,654
  Likes Received: 629
  Trophy Points: 280
  Mungu amewaumbua wameshindwa kuendelea na uongo wao. Wamezoea kila siku wanaua raia na hakuna kinachofanyika. Leo wamemuua mwandishi na wamemlenga kabisa tofauti na mauaji mengine na picha zikapigwa tukawekewa hapa jamvini. Sasa wameshindwa kuendelea na uongo wao. Hata aibu hawana. Huyo kamhanda mbona wanamchelewesha!!!
   
 10. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #10
  Sep 14, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  hata ukifananisha urefu wa yule aliyelekeza bomu kwa Mwangosi(kwenye picha ya nyololo) na yule alipelelkwa mahakamani utagundua kuwa aliyepelekwa mahakani ni mfupi zaidi.
   
 11. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #11
  Sep 14, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,333
  Likes Received: 22,181
  Trophy Points: 280
  Ccm kwa longolongo ni kiboko
   
Loading...