Fao la NSSF

Kifarutz

JF-Expert Member
Aug 7, 2012
1,736
359
Comrades,
Naomba kujua kama serikali iliishafyata mkia wake mrefu kuhusu mtu aliyeaacha kazi kuvuta fao lake la akiba kabla ya kufikisha miaka ya 55 or 60. Na zile longolongo zimefikia wapi?
 
hili swala iemekula kwetu mkuu, na yoote hayo ni kwasababu haliwagusi wabunge wala mawaziri, so no body care about you tanzanian.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom