Tanesco yaanza ku-bp wananchi Arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanesco yaanza ku-bp wananchi Arusha

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KINUKAMORI, Sep 14, 2012.

 1. K

  KINUKAMORI Member

  #1
  Sep 14, 2012
  Joined: Sep 11, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tanesco tunaomba kupata taarifa,tatizo la kukatika umeme toka juzi masaa ya jioni kuna tatizo gani?????????
  Usiku umeme unakatika karibia mara 5 na kurudi mnatuharibia vyombo, tupeni taarifa kuna tatizo gani???:baby:
   
 2. wagaba

  wagaba JF-Expert Member

  #2
  Sep 14, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 829
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  wapigie namba 0732 979280 upate maelezo sahihi. Usijaze server ya JF
   
 3. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #3
  Sep 14, 2012
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145

  Maelezo yapi sahihi wewe acha kuwasaidi Tanesco na upuuzi wao wa kukata rudisha umeme kila baada ya dakika kumi kama uli observe usiku wa kuamkia leo umeme ulienda rudi au on and off mara ngapi wataka kuniambia tanesco walitutangazia au tujitangazie sisi kuwa kuna tatizo give a break buddy.

  Tanesco wao wanatakiwa kuwa straight na kila wakifanyacho huwa wana maamuzi yao ya kujifanyioa bila kujulisha wateja sasa wewe wawatetea au una 10%?

  Hili tatizo ni continuously toka majuzi si mchan si usiku wewe wataka kutuambia nini??????? WAGABA?????????

   
 4. wagaba

  wagaba JF-Expert Member

  #4
  Sep 14, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 829
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  10% inawezekana kweli kirahisi hivyo?
  anyway, nimekupa namba zao ili upate ukweli.
  Kwani wameunguza ZEC zako? pole sana.
  jitahidi next time kununua vifaa vya Grundig from germany. Hata umeme upige shoti vipi mwanangu, vinapiga kazi tu.
   
 5. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #5
  Sep 14, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  huu umeme huu.....ni wapi huko ulikuwa unafanya hivyo.....mi mbona sijaona......
   
 6. K

  KINUKAMORI Member

  #6
  Sep 14, 2012
  Joined: Sep 11, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naona wewe Wagaba ulikuwa zzzzzzzzzzzzz hukujua kilichoendelea usiku unaweza ukaibwa na familia yako bila kujitambua! kwa kawaida Tanesco ndo wakwanza wangetoa tangazo lkn wamekua kimya na si maramoja, mambo ya simu hayajaanza leo kutoa report za uongo kumbe kuna uhalifu either unatendeka mahali acha tupitie Kwenye server ya JF wajue kila mtu yuko aware na hilo.
   
 7. kapistrano

  kapistrano JF-Expert Member

  #7
  Sep 14, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,204
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Ni kweli watu hatuna raha every time unakatika then unarudi why?
   
 8. kapistrano

  kapistrano JF-Expert Member

  #8
  Sep 14, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,204
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  kama upo arusha kwa sasa utajua hili tatizo.
   
 9. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #9
  Sep 14, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  nipo....na umeme wala haujakonyeza.....upo bwerere.....
  mnaishi wapi nyie....?
   
 10. Chilli

  Chilli JF-Expert Member

  #10
  Sep 14, 2012
  Joined: Jul 17, 2011
  Messages: 1,638
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Sio Arusha tu, hapa Moshi juzi umekatika tangu saa 1 usiku mpaka asubuhi na leo tangu asubuhi mpaka sasa hivi hakuna umeme.
   
Loading...