Ajali 2 singida:watu 8 wamefariki hapo hapo

BONGOLALA

JF-Expert Member
Sep 14, 2009
16,507
11,883
jee ni wiki ya nenda kwa usalama hiyo?utamsikia RTO polisi wamejipanga ajali isitokee tena!jee leseni mpya zina maana?
 
Kesheni mkisali kwa maana hamjui saa wala siku atakayokuja mwana wa mtu. Hakuna cha wiki ya nenda kwa usalama wala nini. Nchi inaomboleza na wote waliomo ndani yake. Viongozi na wanaongozwa wamemsahau Mungu.

Haiwezekani kila siku ajali,ajali mara vifo, kwa nini lakini? Inatakiwa kukaa chini ili tuweze kujiumba upya na kufanya tafakuri ya wapi tumeanguka kama Taifa. Kwa nini tumekuwa ni watu wa kulia na kuomboleza kila siku?
 
Tupe habari kamili bwana wapi na magari gani na kimetokea nini? na source

Ni ajali 2 tofauti: Fuso lililokuwa likitokea mnadani pia na gari la polisi lililokuwa likielekea Mara likiwa na maiti ndani yake.

Source Radio1 Stereo.
 
Watu 8 wamekufa mkoani Singida katika ajali 2 tofauti zilizohusisha fuso likitokea mnadani na gari la polisi lililokuwa linasafirisha maiti kwenda Mara .souce radio 1
 
Back
Top Bottom