Mbunge mdogo kuliko wote Africa-uganda

BONGOLALA

JF-Expert Member
Sep 14, 2009
16,507
11,883
ni Binti ana umri wa miaka 19.mwenye picha aiweke hapa.source bbcswahili
 
Dah! Mkuu huyo binti ni wa vitimaalum? Pia anasoma au hasomi? Pia ana kiwango gani cha elimu?
 
hivi huu upuuzi utaisha lini? thread unaleta wewe halafu icha tuweke sisi, kama hukuwa na cha kuweka kwa leo si ungekaa tu!
 
ni Binti ana umri wa miaka 19.mwenye picha aiweke hapa.source bbcswahili

ACHA UVIVU THIS TIME WE WILL HELP YOU; Ukiweka Hoja Jaribu kuwa Mchunguzi Basi???

[h=1]NRM wins Usuk by-election[/h]SEPTEMBER 13, 2012 by ADMIN in NEWS, TOP 10 with 0 COMMENTS

[EKIMEEZA NEWZ] – At the age of 19, NRM's Proscovia Alengot Oromait becomes Uganda's youngest MP ever after she was declared winner of the Usuk county by-election.

url
 
Safi sana, daring lady!!! Ila soma hata ukiwa Mbunge kusoma kupo kama ambavyo wanasoma walioajiriwa na walio na familia.
 
Wakati anahojiwa alidai umri sio unaoongoza watu bali ni akili! Kweli dunia ya sasa niya vijana!
 
Huyu naye ni kama mambo ya aru meru. Amerithi kiti cha baba yake aliyekufa kama yule jamaa alivyotaka kufutwa chozi kwa kufiwa.
 
hawa jamaa kumbe nao wanavaa rangi ya njano! Nachukia hii rangi na ile ya mboga mboga!

mkuu leo umetengeneza siku yangu, nimecheka kwelikweli, maana nilivyomuona tu huyu binti ghafla mtima wangu ukawa
mweusi tiii, kushuka chini nikakutana na hii comment yako imenifanya nifurahi sana
 
mkuu leo umetengeneza siku yangu, nimecheka kwelikweli, maana nilivyomuona tu huyu binti ghafla mtima wangu ukawa
mweusi tiii, kushuka chini nikakutana na hii comment yako imenifanya nifurahi sana

mkuu mi nikiona mtu kavaa nguo zenye rangi hizi huwa nashtuka kwanza. Nahisi ningekuwa na hypertension ningepatwa na stroke.
 
Jamaa hajala mzigo kweli hapo??! Mama Janet pole

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mi naona hata wangeweka jiwe lingeshinda tuu. Nimemskia akiongea anasema hajui challenges zinazomkabili mpaka aingie bungeni. Je hizo ahadi alizotoa kwa wananchi wake kuzitimiza c challenge tosha???
 
Jamaa hajala mzigo kweli hapo??! Mama Janet pole

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

unampa pole badala ya kumpongeza kwa kupata msaidizi?, wewe unafikiri kupunguza hypertention ya KAGUTA ni mchezo?
 
Back
Top Bottom