Faida za tren za mjini itakayoanza safari ivi karibuni DSM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Faida za tren za mjini itakayoanza safari ivi karibuni DSM

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Njowepo, Sep 12, 2012.

 1. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #1
  Sep 12, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Kwa mujibu wa wizara husika safari moja itabeba abiria 900 sawa na Coaster 22,kwa siku abiria 5400 watatumia hii huduma nini maana yake
  1.ubungo posta itatumia dk 45 which means itaokoa mda ambao watu hupoteza kwenye foleni
  2.Itakuwa na trip sita ie kama kila trip ni coaster 22 then six trips ni coaster 132 maana ni kuwa itapunguza kwa kiasi fulani foleni za magari
  3.kwa kubeba abiria 5400 kwa siku itapunguza msongamano wa abiria vituoni ambayo huambatana na wizi
  4.usalama zaidi kwa kuwa polisi wanaweza komaa na sheria ya kupaliza level seat kwa coaster bse pressure ya abiria imepungua
  My take
  Serikali imeonyesha njia iruhusu sector binafsi kuja na proposal na hata kununua mabehewa na engine zao ili waweze pia operate kwa malipo ya rail usage watu kama Azam kama ana mabehewa yake ya mizigo anaweza mudu ya abiria
  Call upon the gvt kuanzia usafiri wa boti kwa kushirikiana na sector binafsi tokea bagamoyo mpaka posta
  Vyote vyawezekana it needs committment na uzalendo wa kuwaonea huruma watz ambao kwenda makazini is another headache anapofikiria usafiri
  Serikali iwe makini na hii huduma as subottage yaweza tokea kwa watu ambao hutengeneza faida kwa shida za wenzao hasa wamiliki wa magari ya kusafisha abiria
   
 2. mysteryman

  mysteryman JF-Expert Member

  #2
  Sep 12, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 986
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ni ukweli mtupu.....
   
 3. zenmoster

  zenmoster JF-Expert Member

  #3
  Sep 12, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 953
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kazi nzuri ya jembe mwakyembe...namkubali sana huyu jamaa japo siwapendi magamba wengi kwa hili nawapongeza
   
 4. m

  mob JF-Expert Member

  #4
  Sep 12, 2012
  Joined: Dec 4, 2009
  Messages: 2,027
  Likes Received: 510
  Trophy Points: 280
  jamani sasa serikali imeondoa ajira za wapiga debe na makonda wa dei waka
   
 5. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #5
  Sep 12, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Naona izi coaster ambazo zitakuwa in excess zinaweza enda saka route mikoani maana treni zote mbili zikianza operate ie TAZAR na TRL daily watu 10800 watakuwa wanapata hii huduma which means coaster kama 264 zitakuwa zimekosa watu wa kupanda kwa siku
  Kuna haja ya serikali kujiandaa namna ya kuwacontain ili kundi ambalo litapokwa ajira!
   
 6. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #6
  Sep 12, 2012
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  Mdau nashukuru kunikumbusha faida za hiyo treni. Ila mpaka sasa sijafahamu nauli itakuwa shilingi ngapi kutoka ubungo hadi stesheni, ubungo tabata matumbi,ubungo kwamnyamani,tabata matumbi stesheni,etc kama unajua mchanganuo wa bei pia tuwekee.
   
 7. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #7
  Sep 12, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  kweli tupu. kuna haja pia ya kujenga rail nyingine kati kati ya barabara ya ally hassan mwinyi hadi tegeta kama nchi za wenzetu itapunguza pia msongamano mkubwa
  na pia kuna haja ya kutumia tren za umeme ambao utaanzia ubungo na amboa haukatwi inawezekana sana
  ni aumuzi tu.
   
 8. idete

  idete Member

  #8
  Sep 12, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  subiri vibaka stesheni majira ya jion,kifo cha ...... furaha kwa ....
   
 9. Mwanahisa

  Mwanahisa JF-Expert Member

  #9
  Sep 12, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 1,397
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Gari moshi ndio usafiri wa bei chini duniani,
  Kwa vyovyote vile lazima nauli itakua chini ya hii ya daladala. Pia itakua chanzo kipya cha mapato kwa serikali.
  Wizara iweke utaratibu mzuri wa tiketi, za siku moja, au kwa wafanyakazi anakata ya miezi mitatu, pia kue na madaraja ili kuongeza mapato, price discrimination, iwe kivutio cha utalii wa mjini pia. Kue na eneo kubwa lakuegesha magari kwa malipo ili wenye magari wakitoka katika viunga mbalimbali vya nje ya mji wanaacha magari ubungo wanaingia kwenye gari moshi ili kupunguza msongamano wa magari katikati ya mji. Liwe na uwiano wa muda pia.
   
 10. A

  Asa79 JF-Expert Member

  #10
  Sep 12, 2012
  Joined: Jul 19, 2012
  Messages: 591
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi wapiga debe wataruhusiwa?
   
 11. Root

  Root JF-Expert Member

  #11
  Sep 12, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,261
  Likes Received: 12,979
  Trophy Points: 280
  sasa dar es salaam watu wataongezeka ila naona kama daladala bado zitaendelea kuwepo tu mtakuta vyuma vya treni vimengolewa yaani rail
   
 12. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #12
  Sep 12, 2012
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  hongera kwa aliyebuni.....hivi no wa chama gani vile????a
   
 13. Domhome

  Domhome JF-Expert Member

  #13
  Sep 12, 2012
  Joined: Jun 28, 2010
  Messages: 1,993
  Likes Received: 1,046
  Trophy Points: 280
  ....imenikumbusha y1991, wakati Mzee JSM(Cigwiyemisi) alipokuwa PM. Kule Msagali jamaa waling'oa reli na walipokamatwa hadi leo hawajulikani wako wapi....!

  Alisema huna haja ya kumshitaki mtu aliyefanya UHUNI wa kung'oa reli, ni kumhukumu tu... Jamaa aliimudu vilivyo nafasi ile ya u-PM.
   
 14. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #14
  Sep 12, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,326
  Likes Received: 1,792
  Trophy Points: 280
  Lets see if it becomes operational sooner than years to come. Mbona ule mradi wa gasi kwenye magari ulianza 2004 mpaka leo hakuna gari linalotumia gas?
   
 15. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #15
  Sep 12, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Hyo reli isipofanyiwa ulinzi wa kutosha lazima wamiliki wa magari ya abiria wang'oe reli ili ilete maafa watu wazikimbie.
   
 16. C

  CAY JF-Expert Member

  #16
  Sep 12, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 501
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Tutaibiwaje vipochi na walet zetu?
   
 17. zaleo

  zaleo JF-Expert Member

  #17
  Sep 12, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 1,733
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Wakitoka hapo, watandike reli kuta Mbagala, Bunju ba Kibamba (actually Mlandizi) kwenda mjini, halafu Waanzishe safari za Pugu hadi mjini pia kusaidia maeneo hayo ambayo ni sugu kwa usafiri mgumu. Infact kwa kuwa Pugu reli ipo wangeanza majaribio ya maeneo hayo mawili Ububgo na Pugu. Faida nyingineyo ni increased opportunities za harakati za maisha kwa wakazi wa mbali ya jiji. Tena, kumbe watu wataweza kutafuta makazi mapya mbali ya jiji na kufanya kazi maofisi ya katikati ya jiji.
   
 18. kupe

  kupe JF-Expert Member

  #18
  Sep 12, 2012
  Joined: Jul 26, 2012
  Messages: 1,025
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Hivi why usitafutwe mji mpya na yakawekwa hayo mambo ya train, ma boat, mitumbwi , helicopter etc....... Kuliko kungangania huu mji wa dar . Jamani umejaa eti uunganishwe bunju to town. Mara mlandizi. Mji wenyewe hauna mitaa wala plan, majengo mabovu na ya zamani. Mvua ikinyesha mafuriko . Soko la kariakoo limeshazidiwa, bado mnataka watu wajae
   
 19. Mkali Tozz

  Mkali Tozz JF-Expert Member

  #19
  Sep 12, 2012
  Joined: Aug 9, 2012
  Messages: 279
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Lakini kunawatakaoajiriwa kutokana na uwepo wa hiyo train!
  Isitoshe daladala zitaendelea kuwepo, abiria wengi wasafari fupifupi watazendelea kutumia daladala, hii ni kama ilivyo majuu, subway zipo na watu wanaendelea kutumia usafiri wa mabasi kama kawa
   
 20. Penguin-1

  Penguin-1 JF-Expert Member

  #20
  Sep 13, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 400
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  wapiga debe wa home nawamind sana...
  waliniibia baiskeli baada ya kuwanyima pesa
   
Loading...