Wa Mkwawa complex tujikumbukishe artist corner na kamjingijingi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wa Mkwawa complex tujikumbukishe artist corner na kamjingijingi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by TWIZAMALLYA, Sep 14, 2012.

 1. TWIZAMALLYA

  TWIZAMALLYA JF-Expert Member

  #1
  Sep 14, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 398
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wadau wa mkwawa mnaikumbuka ARTIST CORNER?.Lol ilikuwa very interesting kwani wana ART walikuwa wanawasilisha hisia zao hapo kwa kutoa mashairi na michoro ya katuni yenye ujumbe mzuri kabisa.Kuna cartoonist mmoja aliyekuwa anajiita KAMJINGIJINGI.Yule ilikuwa hakuna tukio lolote baya au zuri lazima alitengenezee cartoon.hii iliwafanya watu wengi kuogopa kutenda mabaya kwa kuogopa kamjingijingi,kibaya zaidi huyu mtu aliweza kwa ustadi mkubwa kuficha IDENTITY yake kwa wanamkwawa,kweli ilikuwa very nice
   
Loading...