Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwa mara ya kwanza serikali ya Kenya imekubali kutoa nyongeza ya asili mia 300 kwa mishahara ya walimu ambao wamekuwa katika mgomo wa kitaifa kwa wiki tatu sasa. Kutokana na maafikiano...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Huu unazi wa timu zasoka barani ulaya vimeendelea kuchukua maisha ya watu mbali mbali. Kijana mmoja huko Mererani leo amepoteza maisha mara baada ya mchezaji wa Manchester United Robin Van Persie...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Jamani juzi nilienda kulipia road licence ya gari yangu nikaambiwa nilipe na shs 30,000 ya stika ya fire. Je hii ni halali TRA kuchukua pesa zetu bila hata taarifa??? Kibaya zaidi hawakupi hiyo...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Written on April 25, 2012 at 9:00 am by Electroshock 13 Bizarre Facts You Should Know But Do Not We all love interesting and bizarre facts so here we take a look at 13...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wana jf. Nimekuwa natafakari ufanisi wa jeshi la police Tanzania uko chini kihivyo kimaamuzi, matendo, matamko na kugundua most of police officers are F4 and F6 falliers. Tujadili hili kutokana...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu mimi sitapiga kura kwa ajili ya Kutafuta Kivutio cha Tanzania Kitakacho Ingia Kwenye Maaajabu saba ya Bara La Africa kwa sababu zifuatazo, 1. Hifadhi za Taifa na Vivutio vingine havijawahi...
1 Reactions
34 Replies
4K Views
Kwanza wakuu habari zenu..... Napenda kukupa habari hii ya nafasi za masomo katika shule moja ya jijini Upanga ambayo inaitwa Al-Muntazir Islamic Seminary(ALMIS), Shule hii inaongozwa na mashia...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Msaada Jamani.MIMI na Vijana wenzangu 24 wakiume na wakike tumeunda kikundi cha kusaidiana kijamii, kiuchumi n.k.lengo kubwa ni kupeana nguvu katika maswala ya elimu,Harusi ,maradh na Misiba.JE NI...
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Nikiwa katika pilika za kupigia kura vivutio vyetu nikakutana na paragraph hiyo chini nime-copy kwenye sevennaturalwonders.org kuhusu view ya Mount Kilimanjaro maana japokuwa ninaishi huku...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Baada ya ‘kejeli’ hiyo ya mwaka 2008, kampuni hiyo hiyo ya vinywaji baridim mwaka huu imekuja na ‘kejeli’ nyingine, kumbuka wahenga walisema akutukanaye hakuchagulii tusi. Katika tangazo...
3 Reactions
42 Replies
6K Views
Ndugu zangu wana jamii, nilikuwa naangalia habari hapa star tv, sijaona wakitangaza matokeo ya leo ligi kuu je kunani?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimetumiwa kwa njia ya email na mdau mmoja picha ya askari polisi akiburutwa na gari lao. Picha ya lini hii jamani na kama ni kweli (sio photoshopping) tunaelekea wapi iwapo polisi wameanza...
1 Reactions
20 Replies
5K Views
SHULE ya Msingi Bokorani, Mtoni-Mtongani, wilayani Temeke, Dar es Salaam hivi karibuni imekumbwa na matukio ya ajabu ya kupotea wanafunzi wanapotoka shule katika mazingira ya kutatanisha. Kwa...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
jaman na iman wana jamvi ni wazima shida yangu ninaomba kunijuza ofisi za tenisi na karate hapa Dar es salaam. Ahsanteni
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Raisi kikwete kawaagiza mkuu wa mkoa wa dar na menaja wa tanrods mkoa wampe majibu ndani ya wiki moja ni wapi itajengwa stendi mpya baada ya ile ya ubungo kuhamishwa. Amekataa wazo lao la kujenga...
5 Reactions
38 Replies
4K Views
Mimi ni shabiki wafilum hasa za kutoka majuu lakini nimekuwa nikutana na filum zinazo zungumzia maisha ya viumbe vinavyo julikana kama vampire! miongoni mwa filum hizo nikama The blades(1,2,3 &...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ni baba wa mtoto wa kiume aliyezaliwa ndani ya chumba cha mtihani wa darasa la saba. Ni muda wa kuelezwa nani alihusika na nani alilinda ubakaji huu. Ni muda wa kuelezwa kama serikali ya alipo...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Habari wanaJf,mi ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu chuo kikuu huko Dodoma,umebaki mwaka mmoja ili niweze kumaliza masomo lakini kwa jitihada nlizofanya mpaka sasa ili niweze kulipa ada yan tuition...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
na Mwandishi wetu, Geita SERIKALI mkoani Geita imeanza mchakato wa kuhakikisha wachimbaji wakubwa wa dhahabu wanaohodhi maeneo wananyang’anywa na kupatiwa wachimbaji wadogo. Mkuu wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
  • Closed
haya ndiyo majibu ya ubalozi wa marekani nchini kwa waislamu walioandamana kupinga video ya kumkashifu mtume A statement issued by the US Embassy states that: "Our Embassy in Dar es Salaam is...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…