Wakuu mliopo hapa mkiwemo wanasheria bobezi hivi ni kweli mmeshindwa kumsaidia bwana kubenea kupambana ili gazeti letu pendwa lirudi uwanjani?Ni jambo la kusikitisha sana kuona hata wanasiasa...
Habari kuwa walimu Kenya wamefanikiwa kuongezewa 300% ya mishahara yao ni habari njema na isiishie hivyo tu bali iwe funzo kwa walimu na wafanyakazi wote nchini kuwa tunaposimama kudai jambo...
Kama kuna siku kikwete alilala na kuomba basi ni kumchagua huyu bwana mkuu wa mkoa wa jro
kwa kweli amenifurahisha sana sana kwa kukataa kwenda kwa watendaji 58 ati wanaenda kigali
na kutumia...
Jamani mnisadie faida na hasara za kuendesha biashara au shughuli yoyote ile kama kampuni, mfano kuendesha restaurant, usafirshaji nk kama kampuni, badala ya kufanya kama biashara ya kawaida
Wakuu,
Nimeshangazwa na kitendo cha askari mmoja jijini Mwanza mwenye cheo cha Konstebo kuwapa wanafunzi bunduki kisha kupiga picha wakiwa wamebeba silaha hiyo kwa kupokezana huku wengine wakiwa...
Hivi malipo halali ya kulipia mizani kwa mwaka ni shilingi ngapi ?. kwani hawa maafisa vipimo wanatuchanganya vijijini,uta daiwa 18000 hadi 30000/= kwenye stakabazi ya malipo unakuta 8000/=...
Kwa mara ya kwanza serikali ya Kenya imekubali kutoa nyongeza ya asili mia 300 kwa mishahara ya walimu ambao wamekuwa katika mgomo wa kitaifa kwa wiki tatu sasa.
Kutokana na maafikiano hayo...
Habari za uhakika kutoka kwa ndugu wa karibu na mwandishi wa TBC moses friday amejeruhiwa usiku wa kuamkia jumamosi kwenye harusi ya ndugu yake na msanii wa filamu na maigizo (kaole) richie richie...
kwa taarifa kutoka ITV kunamapigano kati ya waarusha na wamasai kwenye eneo la Longindo kutokana na malisho ya mifungo tunaomba walio karibu wazidi kutuhabarisha
Semina ya mtumishi wa mungu chritopher mwakasege
imeanza uwanja wa jangwani kuanzia 23 sep -30 sep 12
ewe mpendwa ukipata muda nenda ukapate neno la mungu
ukaponywe ....
Neno kuu
yoh 21:17
yesu...
Ni wanafunzi wa sekondari ya Eliboru,wameandamana leo asubuhi hadi kwa mkuu wa Mkoa wa Arusha,wakidai mazingira bora ya kusomea,wanadai pia wamekuwa hawafundishwi
Kwa sasa wamefunga barabara...
Kwa sasa serikali imekazana kupanua barabara na reli katika jiji la DSM ili kupunguza foleni jijini. Ujenzi wa barabara unagharimu fedha kama ambavyo ujenzi wa ofisi mpya nje ya jiji ungegharimu...
MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif amesema kuwa vurugu zilizotokea kwenye uchaguzi mdogo wa Bububu zilisababishwa na Vikosi vya Ulinzi na Usalama vya SMZ, hivyo kumtaka Rais...
Habari kutoka alfedheha news linariport kutoka mwanza kwamba jana katika kikao cha ndani cha chadema cha kupendekeza majina ya mgombea umeya na naibu meya kupokea kichapo cha haja kutoka kwa...
Nina vitabu kadhaa vya lugha ya kiingereza nimevitunga structure&literature ninaomba mwenye kujua wa utaratibu kuchapisha mpaka kinaingia sokoni,biashara yake unafanyaje ili usiibiwe na vitu kama...
Kutoka Yahoo friends. Nimeinasa ikizunguka.
NIMEWATUMIA TAARIFA HII, ILI PAMOJA NA UKARIMU NA UPENDO TULIONAO TUWE MAKINI NA WADADISI!!!!
JUMAPILI ILIYOPITA NDUGU MMOJA ALIKUWA KWENYE...
Church warning after paedophile fleesUpdated Fri Sep 7, 2012 8:42pm AEST
PHOTO: Goldsmith committed 42 sex crimes against 20 adolescent boys. (ABC)
VIDEO: Paedophile flees Tas (7pm TV News TAS)...