mwandishi TBC Moses Friday ajeruhiwa na mcheza filamu Richie Richie | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mwandishi TBC Moses Friday ajeruhiwa na mcheza filamu Richie Richie

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kayla, Sep 24, 2012.

 1. Kayla

  Kayla JF-Expert Member

  #1
  Sep 24, 2012
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 260
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Habari za uhakika kutoka kwa ndugu wa karibu na mwandishi wa TBC moses friday amejeruhiwa usiku wa kuamkia jumamosi kwenye harusi ya ndugu yake na msanii wa filamu na maigizo (kaole) richie richie pale alipotuhumiwa kumpiga picha msanii huyo na wenzake. Taarifa ni kuwa mwandishi huyo amejeruhiwa vibaya sehemu za usoni, amelazwa hospitali ila hali yake bado haijaimarika.
   
 2. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #2
  Sep 24, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  na huyo mwandishi aache umbeya bana
  nchi hii kuna mambo mengi ya kureport mbona .tbc kwanza ni kituo cha taifa ..issue ni nyingi mbona za kureport
  private life za watu za nini tbc sasa? au wana kitengo cha udaku?
   
 3. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #3
  Sep 24, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,796
  Likes Received: 36,821
  Trophy Points: 280
  Waandishi wa tbc hawakuguswa kabisa na kifo cha daudi mwagosi.
  Ipo siku na wao yatawakuta.

  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
 4. K

  Kibagata JF-Expert Member

  #4
  Sep 24, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 773
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 35
  haki yake huyo kipeperushi cha magamba. Ngoja aone ubaya wa kuchagua na kubagua habari.
   
 5. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #5
  Sep 24, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,796
  Likes Received: 36,821
  Trophy Points: 280
  Huwa wanauza habari kwa shigongo

  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
 6. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #6
  Sep 24, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  waache bwana ...tumuombee apone ila umbea aache!
   
 7. n

  ndomyana JF-Expert Member

  #7
  Sep 24, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 4,731
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  apone ili aendelee kuja kwandika upuzi wake, mwache afe tbc haina faida kwa taifa.
   
 8. Mess

  Mess JF-Expert Member

  #8
  Sep 24, 2012
  Joined: Mar 2, 2009
  Messages: 667
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kwa sababu ana pua ananusa, ana mdomo anakula, ana macho anaona, ana miguu anatembea, ana mikono anashika huyo ni binadamu ( mnyama ) ambaye anaona uchungu. Namwombea apone haraka, makosa huwa yanalekebishwa
   
 9. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #9
  Sep 24, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,823
  Likes Received: 10,120
  Trophy Points: 280
  Maskini weee kama ni kweli basi pole zake maana hawana overtime hawa, sasa usiku huo kwene harusi za watu naye bhana huyu
   
 10. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #10
  Sep 24, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,897
  Likes Received: 5,359
  Trophy Points: 280
  kumbe wa tbc...nalog off
   
 11. Ralphryder

  Ralphryder JF-Expert Member

  #11
  Sep 24, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 4,588
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Kwa hilo Smile nakuunga mkono kabisaa! hao ndo waandishi unethical, mambo binafsi ya mtu unakuwa biiize! matatizo ya msingi holaa!
   
 12. T

  Tiger One JF-Expert Member

  #12
  Sep 24, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 569
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Si angeua kabisa?
  Hiyo ni kampeni tumeanza kuyapiga mpaka yabadirike.
   
 13. Ndukidi

  Ndukidi JF-Expert Member

  #13
  Sep 24, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 821
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 80
  Kuna iri ringine rinaitwa Marine Hassan Marine, bado na renyewe tulipondeepo kichwa!!
   
 14. K

  Kichakoro JF-Expert Member

  #14
  Sep 24, 2012
  Joined: Sep 10, 2008
  Messages: 1,550
  Likes Received: 1,307
  Trophy Points: 280
  Hakujua anavunja haki ya mtu ''Righ to privacy'' kaenda kumkong'ori pich ili akauze akakong'otwa.
  Na sasa anataka kuuza kwa CD ya kupigwa na bongo movie kaazi kweli kweli

  Upone haraka na urudi kazini
   
 15. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #15
  Sep 24, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  ndo dawa!
   
Loading...