Ada za vipimo na mizani kwa mwaka ni sh. Ngapi ?

McEM

Member
May 7, 2011
64
3
Hivi malipo halali ya kulipia mizani kwa mwaka ni shilingi ngapi ?. kwani hawa maafisa vipimo wanatuchanganya vijijini,uta daiwa 18000 hadi 30000/= kwenye stakabazi ya malipo unakuta 8000/= ukihoji jibu hupati. Hii ina kuwaje wakuu au na kwenu ipo.
 
Back
Top Bottom