Maandamano makubwa ya wanafunzi Arusha

Mwan mpambanaji

JF-Expert Member
Apr 3, 2008
482
131
Ni wanafunzi wa sekondari ya Eliboru,wameandamana leo asubuhi hadi kwa mkuu wa Mkoa wa Arusha,wakidai mazingira bora ya kusomea,wanadai pia wamekuwa hawafundishwi
Kwa sasa wamefunga barabara maeneo ya AICC baada ya RC kuwapa majibu yasiyoridhisha,
 
hao c vipaji maalumu? walimu wa nn na maandamano ya nn. Au yale mageuzi ya shule za vipaji maalumu nao wameanza kuonja machungu ya shule zetu za Kata.
 
Hii ni shule gani??
 
hao c vipaji maalumu? walimu wa nn na maandamano ya nn. Au yale mageuzi ya shule za vipaji maalumu nao wameanza kuonja machungu ya shule zetu za Kata.

Mi nilikuwa najua marian na st francis ndo vipaji maalum..kumbe hata hawa ni vipaji maalum...
 
Ni wanafunzi wa sekondari ya Eliboru,wameandamana leo asubuhi hadi kwa mkuu wa Mkoa wa Arusha,wakidai mazingira bora ya kusomea,wanadai pia wamekuwa hawafundishwi
Kwa sasa wamefunga barabara maeneo ya AICC baada ya RC kuwapa majibu yasiyoridhisha,

Huyo RC hajawahi kusoma Sekondari?
 
niliwaona asubuhi mwendo ulikuwa kimya kimya, haya ni madhara ya kuuzia madai ya waalimu hapo jirani +254 naona wamekaza buti mpaka kimeeleweka, huku kwetu wameapa kutofanya hivyo tena ila naona kama kuna ngumi za gizani hivi ukisikia yalah imempata mtu!
 
Back
Top Bottom