Madiwani wa Moshi acheni ujinga ; million 200 kwenda Rwanda kwa siku tatu usafi gani mnataka kujua?

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,906
22,050
Kama kuna siku kikwete alilala na kuomba basi ni kumchagua huyu bwana mkuu wa mkoa wa jro
kwa kweli amenifurahisha sana sana kwa kukataa kwenda kwa watendaji 58 ati wanaenda kigali
na kutumia million 200 kwa siku tatu...huu ni upuuzi kabisa kisa wanaenda kutafuta njia
za kuweka mji safi nini kipya jamani.....???usafi upi mnaufwata jamani
 
Hata hao ni magamba yaliyovaa gwanda inabi yavuliwe km yale magamba ya arusha yalivyovuliwa
 
wangetuma mtu mmoja au wawili,harafu wakirudi waelimishe wengine rwanda vile wanafanya,harafu hao sasa walkaelimishe wananchi na kutunga sheria za kuzibit uchafu,uko ni kupoteza ela ni sawa watz wote tungekuwa tunasafiri na kikwete kila anapoenda
 
Kama kuna siku kikwete alilala na kuomba basi ni kumchagua huyu bwana mkuu wa mkoa wa jro
kwa kweli amenifurahisha sana sana kwa kukataa kwenda kwa watendaji 58 ati wanaenda kigali
na kutumia million 200 kwa siku tatu...huu ni upuuzi kabisa kisa wanaenda kutafuta njia
za kuweka mji safi nini kipya jamani.....???usafi upi mnaufwata jamani

Chadema hao!
 
kwani mji unaongoza kwa usafi tanzania ni upi..?mi nilizani moshi ndo ingekuwa darasa kwa wengine..
 
Kama kuna siku kikwete alilala na kuomba basi ni kumchagua huyu bwana mkuu wa mkoa wa jro
kwa kweli amenifurahisha sana sana kwa kukataa kwenda kwa watendaji 58 ati wanaenda kigali
na kutumia million 200 kwa siku tatu...huu ni upuuzi kabisa kisa wanaenda kutafuta njia
za kuweka mji safi nini kipya jamani.....???usafi upi mnaufwata jamani

mjinga ni wewe unaekunya barabarani na magamba wenzio.umezoea kunya njiani na vichakani hivyo ustaarabu kwako hamna
 
Back
Top Bottom