Happy birthday mheshimiwa Zitto Kabwe!

Happy birthday mheshimiwa Zitto Kabwe!

may god give you extra strength and sound health in your life
 
Pamoja na yote Zitto tunakutakia happy birthday
Elimu uliyopata umeitumia kwa manufaa ya wengi, sio kama wanaoifungia sandukuni.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu sikuoni kwenye harakati za mapinduzi wala siku sikia kauli yako juu ya mauwaji ya raia
so sioni haja ya kukupa hongera

ngoja nikapate kisusio
 
Kamanda Zitto uzee haupigi hodi! kumbuka "enendeni mkazaane na kuijaza dunia"
 
Bado unakaribia ndoto yako ya ya urais.
Umri sasa unakupa support.
 
happy-birthday-brother.gif
 
happy birthday Zitto! may u live to blow out a 500 candles!
 
Happy birthday mheshimiwa!endelea kupigiania watanzania wenzako!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom