Workshop ya kujiandaa kustaafu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Workshop ya kujiandaa kustaafu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kamkoda, Sep 24, 2012.

 1. k

  kamkoda JF-Expert Member

  #1
  Sep 24, 2012
  Joined: Sep 20, 2012
  Messages: 396
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Leo nimepitia katika blog moja maarufu hapa nchini kuna tangazo la workshop ya kujiandaa kustaafu ada Tzs.500,000/= sasa hii imekaaje!
   
 2. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #2
  Sep 24, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,090
  Likes Received: 6,557
  Trophy Points: 280
  wizi mtupu kwani watakusaidia nini wahuni tu hawa.
   
 3. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #3
  Sep 24, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,363
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Huyo ni creative sana anataka kuandaa mazingira ya kustaafu kwake! Na wajinga hawataisha. Si mnakumbuka DECI?
   
Loading...