Ukitaka kujua siasa ya Tanzania ni unafiki soma hii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukitaka kujua siasa ya Tanzania ni unafiki soma hii

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by chaka bovu, Sep 24, 2012.

 1. c

  chaka bovu Member

  #1
  Sep 24, 2012
  Joined: Aug 7, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nitaongea sana mwisho wa siku nitanyamazishwa kwa kupandishwa cheo.
  nimegoma mwisho wa siku naomba radhi.

  HUU NDIO UKWELI
   
 2. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #2
  Sep 24, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Mtu alitekwa, akapelekwa msitu wa pande akateswa na kung'olewa meno kwa koleo kwa ajili ya kutetea haki za wataalamu, mwisho wa siku akanyamazishwa kwa kufanywa bilionea.

  Mtu aliongea sana tena kwa nguvu zote, babuliwa sura mwishowe akanyamazishwa kwa kuzawadiwa uwaziri.

  Siasa bana!
   
 3. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #3
  Sep 24, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Tatizo la unafiki katika siasa za Tanzania siyo la wanasiasa bali watanzania wenyewe. Kama ziko hivyo ni kwanini wanazikubali badala ya kuziondosha? Wewe uliyeona huu unafiki umefanya nini kuuondoa kama siyo kulalama tu?
   
 4. c

  chaka bovu Member

  #4
  Sep 24, 2012
  Joined: Aug 7, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  TATIZO MJAJUA pesa ukipewa mabilioni unadhani autanyamaza hii ndio tanzania ongea sana uende ikulu
   
 5. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #5
  Sep 24, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Mimi hapo nawaonea tu huruma gazeti la Mwanahalisi
   
 6. Jstrong

  Jstrong Member

  #6
  Sep 24, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 61
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 15
  Ukweli ulivyo wanasiasa wengi ni wabinafsi, ndo maana posho zao zinazidi mishahara yao. Kila politician anaongea sn ili kupata mafanikio binafsi tu.tutengeneze katiba ambayo watu hawa tutawawajibisha kama China vinginevyo there will be no devpt at all.
   
 7. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #7
  Sep 24, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,912
  Likes Received: 213
  Trophy Points: 160
  Ina Maana Dr. Ulimboka ndiyo ameshaamua kukaa kimya?
   
 8. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #8
  Sep 24, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,267
  Likes Received: 19,410
  Trophy Points: 280
  wanaume majungu ya nini si mfunguke wote tujue?
   
 9. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #9
  Sep 24, 2012
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Tupeni ukweli Watanzania wajue ukweli.
   
Loading...