Madiwani chadema mwanza wachezea kichapo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madiwani chadema mwanza wachezea kichapo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Abuu- Amin, Sep 24, 2012.

 1. A

  Abuu- Amin Member

  #1
  Sep 24, 2012
  Joined: Aug 5, 2012
  Messages: 88
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari kutoka alfedheha news linariport kutoka mwanza kwamba jana katika kikao cha ndani cha chadema cha kupendekeza majina ya mgombea umeya na naibu meya kupokea kichapo cha haja kutoka kwa aliyekuwa diwani Wa kitangiri bwana Henry matata na wapiga kura wake baada ya kumzuia kuingia kwenye mkutano huo kwa sababu ya kutolewa udiwani na kamati kuu ya chadema na kuvuliwa uanachama.
  Hapo ndipo mr. Henry matata alipoanza kutembeza kichapo pamoja na wapiga kura wake mpaka madiwani na mbunge kuingia mitini baada ya kichapo kuwa havy.ilikuwa ni Burudani Ya aina yake pale tawini.
  ya aina Yake jana pale tawini.
   
Loading...