Udhaifu wa polisi sasa waziwazi.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Udhaifu wa polisi sasa waziwazi..

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Rabi wa Leo, Sep 24, 2012.

 1. Rabi wa Leo

  Rabi wa Leo Senior Member

  #1
  Sep 24, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 104
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif amesema kuwa vurugu zilizotokea kwenye uchaguzi mdogo wa Bububu zilisababishwa na Vikosi vya Ulinzi na Usalama vya SMZ, hivyo kumtaka Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein kuchukua hatua. Source; Mwananchi.
   
 2. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #2
  Sep 24, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Huyu jamaa si ni kiongozi wa serikali!
  Asie timuliwa kama kocha wa Yanga maana ukiwa mkweli Tz iyo ndio azabu
   
 3. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #3
  Sep 24, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,738
  Likes Received: 1,451
  Trophy Points: 280
  Jamaa katulia kweli muda huu....kumbe kukuru-kakara zote zile zilkuwa ni kutaka cheo (hata bila madaraka) BASI!

  Angalia kauli yake utadhani hata sio Mkuu wa Wilaya.............au ndio mambo ya ceremonial titles?
   
Loading...