Gazeti la uchambuzi wa kina mwanahalisi kufunguliwa lini?

kazuramimba

Senior Member
Jun 14, 2011
126
57
Wakuu mliopo hapa mkiwemo wanasheria bobezi hivi ni kweli mmeshindwa kumsaidia bwana kubenea kupambana ili gazeti letu pendwa lirudi uwanjani?Ni jambo la kusikitisha sana kuona hata wanasiasa wakubwa wa upinzani ambao wamejengwa na kutukuzwa na lile gazeti hadi kufika walipo sasa bado wapo kimya.Wapi dk Slaa,Zitto kabwe,Mnyika na Mdee.Ilikwisha tamkwa mara nyingi kuwa ile sheria iliyo tumika si sahihi na ni sheria onevu sasa kinacho shindikana ni kipi? Kama Dowans walifanikiwa kuiburuta hii serikali dhaifu na wakashinda kwani ishindikane kwa mwanahalisi? Mi nadhani muda umefika kwa vyombo vya habari kugoma kwa makusudi hadi kieleweke kwamba mwanahalisi lirudi mtaani na sheria hii kandamizi ifutwe.
 
wanahabari wa tanzania wanafiki sana! ni mwendelezo wa njaa kaka!watasema nini hali washapozwa?ITS ANOTHER ANGLE 4 CDM TO MAKE A DEAL ON THIS!
 
WATAKULA KWAKO....UMOJA HUO HAKUNA KITU HAPA NI ZAMBIA PANDISHA HATA SENTI KUMI KWENYE MKATE WAO UONE CHA MOTO...........hawa wa hapa ni bahasha tu kazi kwisha habari itaandikwa utakavyo....!! na usipotoa mekula kwako hiy
 
Kuna pahala nilisoma kuwa wamekata rufaa ya kufungiwa nadhani wanasubiri tu uamuzi wa rufaa hiyo.
http://cpj.org/2012/07/tanzanian-authorities-ban-weekly-indefinitely.php

http://www.article19.org/resources....alisi-violates-right-to-freedom-of-expression

http://www.ippmedia.com/frontend/index.php?l=45800

Halafu kulishakuwepo na thread yenye kuzungumzia hilo la rufaa...
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...um/305306-rufaa-ya-gazeti-la-mwanahalisi.html

Pia rekebisha heading yako kwasababu ni tofauti na contents zake,nildhani wameshashinda rufaa yao!
 
Dowans inamaslah kaka. Hii lamwanahalisi ni zito sawa na kupeleka kesi ya mbuzi kwa fisi.
 
Kichwa cha habari.....Nikajua gazeti letu liko uwanjani nikajipatie nyuzi zenye uwakika
Habari yenyewe kumbe......waheshimiwa wazidishe mapambano kulitetea
 
Mbona unesema kuanza kuchapishwa kumbe unataka watu wamsaidie kubenea ili gazeti lifunguliwe.
Heading haiendani na content
 
Title na Contents tofauti.

Umeniwahi Mkuu. Hivi huu uvuvuzela wa kuandika heading ya kuvutia alafu content nyingine kabisa mbona inashika kasi hapa JF? Huu ni umangimeza na umagumashi. Potelea mbali kama mods wanipige ban poa tuu.
 
I luv JF bana, huwa napendekeza lianzishwe jukwaa la matahira! watu wanachonga, haya sasa.
 
Naona mleta mada anatafuta umaarufu kichwa cha habari na kilichomo ni kama Polisi na CDM kwenye ulingo wa mikutanonya hadhara

Kichwa cha habari.....Nikajua gazeti letu liko uwanjani nikajipatie nyuzi zenye uwakika
Habari yenyewe kumbe......waheshimiwa wazidishe mapambano kulitetea

Mbona unesema kuanza kuchapishwa kumbe unataka watu wamsaidie kubenea ili gazeti lifunguliwe.
Heading haiendani na content

Umeniwahi Mkuu. Hivi huu uvuvuzela wa kuandika heading ya kuvutia alafu content nyingine kabisa mbona inashika kasi hapa JF? Huu ni umangimeza na umagumashi. Potelea mbali kama mods wanipige ban poa tuu.

...Waanzisha uzi wa namna hii uwezekano mkubwa ni kuwa wanafanya kazi kwenye magazeti ya Shigongo.Kutafuta umaarufu kwa kisichopo!:angry:
 
Wakuu mliopo hapa mkiwemo wanasheria bobezi hivi ni kweli mmeshindwa kumsaidia bwana kubenea kupambana ili gazeti letu pendwa lirudi uwanjani?Ni jambo la kusikitisha sana kuona hata wanasiasa wakubwa wa upinzani ambao wamejengwa na kutukuzwa na lile gazeti hadi kufika walipo sasa bado wapo kimya.Wapi dk Slaa,Zitto kabwe,Mnyika na Mdee.Ilikwisha tamkwa mara nyingi kuwa ile sheria iliyo tumika si sahihi na ni sheria onevu sasa kinacho shindikana ni kipi? Kama Dowans walifanikiwa kuiburuta hii serikali dhaifu na wakashinda kwani ishindikane kwa mwanahalisi? Mi nadhani muda umefika kwa vyombo vya habari kugoma kwa makusudi hadi kieleweke kwamba mwanahalisi lirudi mtaani na sheria hii kandamizi ifutwe.
h

Hivi title kama za magazeti ya udaku ndo imekuwa fashion eeh!
 
Kazi ya waandishi wa habari siyo kama unavyoielewa. Isitoshe kama Mwanahalisi limefungiwa hakuna jinsi ya kupinda sheria kuliokoa. Mbona kama ni magazeti bobezi yako mengi! Hebu jaribu kusoma Raiamwema kidogo au magazeti mengine kama vile the Citizen. Hakuna anayefurahia kufungiwa Mwanahalisi vilevile hakuna anayeweza kutumia sheria wakati wanaoitekeleza wamo mfukoni mwa CCM. Hakuna cha unafiki wa waandishi wa habari wala kutokuwa na shukrani kwa viongozi wa upinzani. Si kweli kuwa watu kama Dr Slaa wamejengwa na Mwanahalisi. Mwanahalisi lilimjenga mtu mmoja aitwaye Saidi Kubenea ambaye amekuwa na sifa hata asizokuwa nazo.
 
Wakuu mliopo hapa mkiwemo wanasheria bobezi hivi ni kweli mmeshindwa kumsaidia bwana kubenea kupambana ili gazeti letu pendwa lirudi uwanjani?Ni jambo la kusikitisha sana kuona hata wanasiasa wakubwa wa upinzani ambao wamejengwa na kutukuzwa na lile gazeti hadi kufika walipo sasa bado wapo kimya.Wapi dk Slaa,Zitto kabwe,Mnyika na Mdee.Ilikwisha tamkwa mara nyingi kuwa ile sheria iliyo tumika si sahihi na ni sheria onevu sasa kinacho shindikana ni kipi? Kama Dowans walifanikiwa kuiburuta hii serikali dhaifu na wakashinda kwani ishindikane kwa mwanahalisi? Mi nadhani muda umefika kwa vyombo vya habari kugoma kwa makusudi hadi kieleweke kwamba mwanahalisi lirudi mtaani na sheria hii kandamizi ifutwe.

Hiyo Title ndugu yangu! yaani nilishaanza kushangilia kwa furaha kumbe ni opinion yako tu!
 
Tujitahidi sana kuwa geater thinkers pls!!
Aliyeleta hii thread anaonyesha ni kwa kiasi gani kavamia jf kabla ya kujipima kama kweli ni greater thinker.
Kwanza kaandika vibaya kama hajaenda hata shule,
pili heading na contents tofauti,
tatu hafatilii na hajui hatua zinazo endelea juu ya kudai haki ya gazeti letu kurudi hewani,
nne anatoa lawama kabla ya kutafiti.
No research no right to speak!
 
Back
Top Bottom