Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ni mida hii,ilikuwa inatokea Mwadui kuelekea Shinyanga mjini,zaidi ya majeruhi 15 wamekimbizwa hapo Kolandoto Hoaspital kwa matibabu,marehemu alikuwa ni mwalimu katika Shule ya Msingi...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Watumishi wengi wa serikali hasa walimu jana walimiminika nmb ili kuweza kupata chao. Nyuso za watumishi hao zilibadilika baada ya kuona akaunti zao haziso hatua iliyopelekea wengine kurudi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
BARAZA la Sanaa la Taifa (BASATA), limewaagiza viongozi wa mashirikisho ya sanaa hapa nchini kufuatilia kwa karibu matukio ya ukiukwaji wa maadili yanayoendelea katika sekta hiyo hivi sasa na...
1 Reactions
20 Replies
8K Views
French President Nicolas Sarkozy faces an uphill struggle in the second round of the presidential election, after coming second in Sunday's first vote. He won 27.1% of the vote, while his...
0 Reactions
4 Replies
990 Views
Tanzania zaidi ya uijuavyo!hatimaye shule ya sekondari ya tarakea day imeingiwa na bundi wa aina yake ambapo mkuu wa shule hiyo mwl Kija amehamua kuwafukuza walimu wa kike ili marafiki zake wa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Amini msiamini wale walimu wa type ile ya mwalim wa Sarafina katika filamu ya "sarafina" wanaifanya kazi yao kwa umakini hapa Bongo. Tena wanatumia mbinu tofauti tofauti (methodology) kulingana na...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kaimu Kamanda wa Polisi mkoa wa Geita, Paulo Kasabago Jeshi la Polisi limeendelea kuandamwa na matukio ya kuua raia baada ya askari wake wanne, akiwamo Mkuu wa Kituo (OCS) kukamatwa kwa tuhuma...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Great Thinkers, Kwa mtizamo wa facebook na twitter, Dr Jakaya Kikwete ni maarufu zaidi kuliko Dr Wilbrod Slaa; Facebook Twitter Total popularity Dr Kikwete (President) 43, 724 likes 36,038...
1 Reactions
53 Replies
5K Views
Kwanza wafanyakazi wa UDSM wameanza kupokea mishahara ya mwezi uliopita tangu jana tarehe 4/10/2012 saa sita mchana. Wameanza wafanyakazi wenye akaunti katika benki ya Makabwela yaani 'National...
0 Reactions
19 Replies
5K Views
wadau nlipita mitaa hiyo mida ya saa kumi na mbili asubuhi pale blue fish kukawa kuna watu wengi sana pamoja na defender ya,police mwenye habari zaidi atujuze!!!!!
0 Reactions
2 Replies
2K Views
kiukweli leo nimeona kitu cha ajabu,nilikuwa nasikia lakin leo nimeshuhudia mwenyewe wanyamongo na wanyabhasi wanataka kupigana,ni panga nje nje na nina mshukuru mwenyez MUNGU tumepita salama...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Katika taarifa ya habari ya usiku wa leo 06/10/2012 saa mbili,CCTV NEWS imetumia zaidi ya dakika 10 kwa kuutangaza mlima kilimanjaro shukrani kwa watangazaji wa CCTV bwana ERICK NJOKA aliyeweza...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Yule mtuhumiwa wa kutorosha wanyama 130 wakiwa hai na kusababisha WIZARA YA MALIASILI NA UTALII KUTIKISIKA anaefahamika kwa jina la KAMRANI AHMED amekamatwa na noti bandia za kiasi cha sh.18...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
  • Closed
Wana-Jf, Naomba tu kuuliza kama mshahara umeingia tayari hasa kwa watumishi wa serikali kama waalimu wa pale UDSM, kwani kuna jamaa ni Lecturer na alichukua pesa yangu siku nyingi na kuahidi...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Mimi sikubahatika kuangalia kipindi hicho lakini hapa kazini kwangu kuna staff mwenzetu alikuwa amepangiwa kituo cha kazi Zanzibar kama driver yeye ni mtu wa bara. kutokana na kubaguliwa na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa kweli mji wa Dodoma unashangaza! pamoja na kwamba ni mkoa lakini pia ni makao makuu ya serikali; lakini ukifika Dodoma kwa sasa utapokelewa na stendi zinazo kudhihirishia kuwa Dodoma ni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Just a few days after Kenya switched off millions of fake handsets, the Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA) has said it is not in the position to do so because it does not wish...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wiki chache zilizopita nilirusha thread ya kuomba msaada wa ada ambayo ilipelea chuoni na kukwama kabisa kuipata. Katika kuhangaika kwangu niliona ni bora nije hapa JF kuomba msaada nikibahatisha...
34 Reactions
55 Replies
5K Views
Leo ni tarehe 5 na hakuna kinachoeleweka kuhusu mishahara ya wafanya kazi.Serikali kupitia raisi Kikwete ilitangaza kwamba ifikapo tarehe 26 ya kila mwezi wafanyakazi watakuwa wameshapata...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Wakuu toka wauza vocha kulalamika kuwa vocha ya mia tano haina faida na kutishia kutozhjumua na kuziuza kwa mtumiaji wa mwisho voda wamekaa chini na kuwazua kuja na vocha za shiling mia nne...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…