Waziri wa elimu sadia hapa...... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waziri wa elimu sadia hapa......

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by M4C ARUSHA, Oct 4, 2012.

 1. M

  M4C ARUSHA Member

  #1
  Oct 4, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tanzania zaidi ya uijuavyo!hatimaye shule ya sekondari ya tarakea day imeingiwa na bundi wa aina yake ambapo mkuu wa shule hiyo mwl Kija amehamua kuwafukuza walimu wa kike ili marafiki zake wa kiume waweze kuwatumia kingono wanafunzi wa kike shuleni hapo

  Hatua hii mbaya imefikia huku akimtaka matroni wa shule hiyo aondoke na kutaka walimu vijana kutoka shule ya hapo waache kupanga mitaani na badala yake wawaondoe walimu wa kike ili waweze kuwa shuleni

  Okoa kizazi hiki ipende rombo yako na hata taifa kwa ujumla funguka
   
 2. BINARY NO

  BINARY NO JF-Expert Member

  #2
  Oct 5, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,778
  Likes Received: 588
  Trophy Points: 280
  May be that is another option ya kujilipa allowance baada ya serikali kuwapotezea madai yao nadhani wamekubaliana walimu wakiume wote wajilipe teaching allowance kwa dizaini hiyo...

  • :eyebrows:
   
 3. n

  ngonani JF-Expert Member

  #3
  Oct 6, 2012
  Joined: Aug 27, 2012
  Messages: 1,371
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Wacha majungu yako,kama umefukuzwa kazi tafuta kwingine,pia rekebisha tabia zako zlizosababisha ufukuzwe.
   
 4. Lyamungo

  Lyamungo Member

  #4
  Oct 6, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 91
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu wa shule hawezi kumfukuza mwalimu maana hajamwajiri yeye, kama mkurugenzi kakubali kumfukuza mwalim kajiridhisha na makosa yake, hayo ni majungu.
   
Loading...