Kanisa jipya atakalozikwa rasmi,baada ya mwili wake kuhamishwa katika kaburi la muda lililopo kanisa la Kashozi.
Maziko yataanza saa kumi jioni na yatahudhuliwa na Waziri Mkuu Mizengo Pinda.
JF...
wanaJF msaada wenu wa mawazo unahitajika.kijana mmoja anafanya kibarua kampuni x .Amekabidhiwa project kubwa kusimamia kwa niaba ya kampuni .Katika project hiyo alikabidhiwa kijana mmoja ampatie...
juzi nikiwa katika restaurant moja kati kati ya jiji walikuja wadada wawili wakaanza kuongea kuhusu mitandao ya simu
sasa katika kuongea yule dada akaanza kulalamika anamsimulia mwenzake kuhusu...
Wadau mara nyingi nimekuwa nikijiuliza hawa watu wanaoshindwa kujibu maswali rahisi ya kipima joto cha itv na kusema HAWAJUI uelewa wao ni mdogo sana au? Mfano swali la leo..JE WAFANYABIASHARA...
Siku hizi tuwe makini.Mwana-CCM yeyote akisema atakuwa na Press Conference tufikiri mara mbilimbili kwenda au kufuatilia. Hawa watu wamechoka na wanatuchezea. Sumaye ndio kasema nini? Kigwangalla...
Tumaini langu nyote mu wazima wa afya, ila kwa wewe ulio na udhaifu wowote basi Muumba wako akurejeshee afya njema.
Wakuu, nadhani baadhi ya watanzania wengi wanaona na kufuatilia mfumo mpya...
:embarassed2:Habari ambazo nimezipata toka kwa kaka yangu anayehudhuria mafunzo ya kupandishwa cheo katika Chuo Cha Polisi Moshi (CCP). Ni kuwa siku ya jana chuoni hapo ilikuwa ni majonzi makubwa...
Jaman wana jf nawashukuru sana kwa ushirikiano wenu mzuri.nilikuwa naomba msaada wenu kujua eti nilini watatoa majina ya wanao anza mafunzo ya polisi inakwaje maana nimuda mrefu sana!kwa anayejua...
Wakuu naomba elimu juu ya swali langu hili
1: Je mpangaji anaweza akalipia na kununua LUKU tanesco kwa jina lake
2: Kama ni mali ya mpangaji je akihama anaweza kuhama na LUKU yake?
3: Kama inabidi...
Imekuwa ni jambo la kawaida siku hizi kuwasikia viongozi mbalimbali wakianza na salamu zenye vionjo vya kidini hata katika mikusanyiko isiyo ya kidini.
Kikao ni cha kiserikali kabisa au...
Kingungengombare Mwiru ametinga katika msiba wa aliyekuwa mfanyakzi wa Ofisi ya Makamu wa Rais Mr Chochole.
Chochole amefariki usiku wa kuamka Jumapili,
Ujio wake Kingunge umeshtua watu...
Hapa tupo kama kilometre moja tu na matank ya kuhifadhia maji yaliyoko Kimara. Kwa kawaida huwa mgao ni mara mbili kwa week. Tusaidiane hawa dawasco tuwafanyaje?
WanaJF:
naomba kuoitia jamvi hili iwapo kuna mtu anafhamu kinachoendelea katika Idara ya Uhamiaji -- sababu ya kuchelewesha kutoa paspoti.
Kuna dada yangu mmoja alioma pasipoti na kila kitu...
Huyu jamaa sijui kashindwa kazi au mafisadi wamemteka? kiukweli kwa upande wa mererani tunamgao wa umeme kila siku sasa ni mwezi umefika.umeme unakatwa saa moja asubuhi inarudi saa nne usiku kila...
mara nyingi Star TV imekuwa ni moja ya vituo vya TV vinavonikuna sana hasa show zao za masuala ya Siasa, Elimu, Uchumi na hata Michezo. Sabaubkubwa ni kwamba hawako biased. Thumbs Up! hapa...
Three Men vs. Fifteen Hungry Lions - Human Planet
Angalia hiki kipande cha video na useme umejifunza nini?
http://www.youtube.com/watch?v=Z3AtVgiYKd8
Three Men vs. Fifteen Hungry Lions - Human...