Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mara kadhaa niliwahi kumsikia mhe. Rais akisisitiza ujenzi wa barabara ya Mto wa Mbu-Loliondo-Mugumu road, sambamba na kuwepo pingamizi toka kwa watu/mataifa mbalimbali. Baada ya watu wengi au...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wahamiaji haramu wa kisomari wanaoishi nyumba moja hapa Tunduma wanauza mirungi. Watu wa uhamiaji wanakula nao mirungi hi imezidi. ukiwauliza wahusika wanasema hatuna taarifa juu ya watu hao.
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Dar es Salaam, Tanzania — In a move to alleviate water scarcity in Dar es Salaam, the Indian government has given a $178m loan to Tanzania for the implementation of water projects.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Sumaye pia alikana kukutana na viongozi wa Chadema kujadili hatima yake ya kisiasa baada ya uchaguzi huo... “Kama ningekuwa nimekutana na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ndugu zangu, Ni harambee iliyoratibiwa na mtandao wa Mjengwablog. Imehitimishwa jana Oktoba 30 kama ilivyopangwa. Imefanikiwa. Jioni ya leo nitaweka mtandaoni ( Mjengwablog.com)jumla...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Thomas Edison ndiye alivumbua balbu za umeme tunazotumia leo. Lakini kabla hajafikia hayo mafanikio ya kuifanya balbu itoe mwanga, alifanya majaribio zaidi ya 2000 (elfu mbili). Siku moja...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Kweli hizi ni Zama za prof. Hivi kiazi ngereja akiona hivyo anawaza nini? Prof usirudi nyuma this is just the beginning
0 Reactions
0 Replies
945 Views
leo saa 6.30 hadi saa9.30 usiku miele ya Casmo itaingia duniani kutoka Sayari ya Mars hivyo unatakiwa kuzima simu yako na iweke mbali na wewe kwani miale hiyo ni hatari kwa afya yako iwapo...
1 Reactions
31 Replies
8K Views
Handeni hakuna TTCL broadband wala minara ya simu si ya 3G na hii ni kero kubwa. Tunaomba angalau makampuni ya simu yatuwekee huduma hii.Kigoda tusaidie jambo hili
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi-CCM. Nimesoma naye Sekondari ya Upili. Tulikuwa tukizungumzia siasa za Tanzania kujua tulipo na tunakoelekea. Mjumbe huyu wa CC anasema kuwa kauli za...
1 Reactions
52 Replies
5K Views
Tunapongeza kipindi hiki cha asubuhi kwani kimesheeni habari nzuri na motomoto lakini tatizo ni baadhi ya wageni mnaowaita hapo kweli wanatuharibia hata hamu ya kuendelea kutazama wanakuja na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
wakuu wote wa chama na serikali kwanza poleni na majukumu,staki kuwachosha kwa maneno mengi,ebu jaribuni kuangalia nguzo za TANESCO na TTCL utaona kakibao kameandikwa''MGANGA WA JADI...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hi tetesi ya kweli kuwa jamaa kaja na kulamba 800mil kwa siku moja tu....
1 Reactions
39 Replies
4K Views
Vichwa vya habari vya Magazeti. majira>sina ubaya na lowasa. Habari leo>Sumaye alia na rushwa. Mtanzania Daima>amgwaya lowasa Uhuru>Atema cheche Nipashe>aivua nguo CCM Mwananchi>Sumaye...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
mnamo mwezi august zaid ya post 200 zilitangazwa katika chuo kikuu cha dodoma ambapo mpaka sasa kimya. Au usaili tayar umeshafanyika? Jaman give us feedback
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Haya tazama MlimaniTv sasa ufaidi uhondo
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu,TBC ni channel ya Umma(Shirika la Umma)bt najaribu kukompea programme zake haidizevu kuitwa Channel ya Umma.Star,bg up hasa hiki kipindi cha BBC News kuanzia saa3 usku kwa lugha ya...
1 Reactions
29 Replies
4K Views
As Facebook announced that it hit the 1 billion users mark last week, becoming the world’s third largest “country,” penetration remains relatively low in East Africa and much of the rest of...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Mwaka huu nilitaka nijiunge na JWTZ lakini nimeahirisha nasubiri mpaka sakata la kugombea ziwa Nyasa liishe ndo ntajiunga. Isije kuwa unaingia tu unapitiliza.
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Uchunguzi umeanza nchini Afrika Kusini kuhusu marekibisho yanayofanywa kwenye nyumba ya binafsi ya Rais Jacob Zuma, ujenzi utaogharimiwa na serikali. Tangazo limetolewa na ofisi ya mhifadhi wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…