Wasomali takribani mia moja wanaishi nyumba moja wanauza mirungi Tunduma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wasomali takribani mia moja wanaishi nyumba moja wanauza mirungi Tunduma

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by fugees, Sep 25, 2012.

 1. fugees

  fugees JF-Expert Member

  #1
  Sep 25, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 2,587
  Likes Received: 390
  Trophy Points: 180
  Wahamiaji haramu wa kisomari wanaoishi nyumba moja hapa Tunduma wanauza mirungi. Watu wa uhamiaji wanakula nao mirungi hi imezidi. ukiwauliza wahusika wanasema hatuna taarifa juu ya watu hao.
   
 2. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #2
  Sep 25, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,528
  Likes Received: 10,441
  Trophy Points: 280
  hiyo nyumba ipo sehemu gani.?
   
 3. fugees

  fugees JF-Expert Member

  #3
  Sep 25, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 2,587
  Likes Received: 390
  Trophy Points: 180
  Nyumba inaitwa posta way ipo hapa tunduma. Yaani ni tatizo wanatoka usiku tu mchana hawang'ai
   
 4. M

  Msajili Senior Member

  #4
  Sep 25, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 117
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Wasomari Ndiyo nini?
   
 5. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #5
  Sep 25, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Dah raha sana tz
   
 6. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #6
  Sep 25, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,528
  Likes Received: 10,441
  Trophy Points: 280
  Naifahamu sana hiyo nyumba, inamgahawa unaomilikiwa na msomali na inatazamana uso kwa uso na kituo cha polisi cha tunduma..mara nyingi huwa napata chakula cha mchana pale, japo sijuagi kule uani ni gesti au nyumba wanaishi watu. Ngoja nitafanya uchunguzi.
   
 7. fugees

  fugees JF-Expert Member

  #7
  Sep 26, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 2,587
  Likes Received: 390
  Trophy Points: 180
  mkuu yaani haihitaji cha uchunguzi na ulitoa taarifa kwa wahusika unaweza kula makofi maana wahusika wanakula nao mirungi.
   
 8. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #8
  Sep 26, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,528
  Likes Received: 10,441
  Trophy Points: 280
  mkuu tatizo serikali imeoza kwa rushwa,hivyo unaweza kutoa taarifa uongozi wa juu ukashangaa wewe ndio unageuziwa kibao, lakini bado nitafanya uchunguzi mdogo ikithibika namtwangia IGP Mwema kwa hatua zaidi.!
   
 9. M

  MLERAI JF-Expert Member

  #9
  Sep 26, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 673
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Kama wapo na kike nyie endeleeni kupooza machungu serikali haina mda nao ni mpaka pale watakapojiunga chadema ndio watafukuzwa nchini
   
 10. MWILI NYUMBA

  MWILI NYUMBA JF-Expert Member

  #10
  Sep 26, 2012
  Joined: Jun 18, 2012
  Messages: 819
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Ndiyo maana mzanzibari kachoka kutanga na nyika.. By: Albert Mangwair
   
 11. M

  Mwalufunamba JF-Expert Member

  #11
  Sep 26, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 211
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Intelijensia ya Said Mwema na Rashid Othman viko wapi?
   
 12. N

  Nonda JF-Expert Member

  #12
  Sep 26, 2012
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,958
  Trophy Points: 280
  Habari za kiintelijensia ni maalum kwa maandamano na mikutano ya vyama vya upinzani tu.

  Kwa Wengine wote, inayotumika ni dhana ya tundu wazi (utandawazi)
   
 13. fugees

  fugees JF-Expert Member

  #13
  Sep 26, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 2,587
  Likes Received: 390
  Trophy Points: 180
  Simu yangu haiupload ngoja nijitahidi kuwawekea picha wanavyo tafuna mirungi jama ngedele kwenye shamba la mahindi harafu afya hakuna ila wanakula na kujari milungi kuliko chakula ya ani wamekonda kweli na hapa tunduma ni weng kweli wengine wameoa na kuolewa. Kibali halali kwao ni kukaa mwaka mmja au miwil ila hawajui hata kiswaz.
   
 14. h

  hargeisa JF-Expert Member

  #14
  Sep 28, 2012
  Joined: Jun 19, 2011
  Messages: 551
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  huu ni uongo mkubwa posta way ni hotel na gest yenye vyumba 6 .mnachafua jamvi kwa uongo.
   
 15. kupe

  kupe JF-Expert Member

  #15
  Sep 29, 2012
  Joined: Jul 26, 2012
  Messages: 1,025
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Mlitaka warudi kwao wakateke meli???
   
 16. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #16
  Sep 29, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Ninavyowapenda Uhamiaji wakiishiwa tuu wanaenda bisha hodi jamaa wanakata mkwanja then maisha ya wasomali yanaendelea ie kuishi Tz bila kibali.
  Ukiona ivyo wanasubili hali ya hewa itulie iyo itakuwa transit camp yao kwenda bondeni kupitia Malawi
   
 17. mpinga shetani

  mpinga shetani JF-Expert Member

  #17
  Sep 29, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 3,268
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Wasomali hata 50 huweza kuishi kwenye chumba kimoja bila shida. Tembea ujifunze
   
 18. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #18
  Sep 29, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,528
  Likes Received: 10,441
  Trophy Points: 280
  umewai kulala humo.?
   
 19. h

  hargeisa JF-Expert Member

  #19
  Oct 8, 2012
  Joined: Jun 19, 2011
  Messages: 551
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  wewe muongo acha chuki kawa sababu tu ya chki yako
   
 20. h

  hargeisa JF-Expert Member

  #20
  Oct 8, 2012
  Joined: Jun 19, 2011
  Messages: 551
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ndio nimelalaa
  :A S 465::canada::spy:
   
Loading...