It will start in a few minutes, watch through various international news channel, CNN / AL JAZEERA / BBC/ MSNSBC etc
You can tune ITV have joined with CNN.
DC aamuru waliosababisha kipigo cha askari wakamatwe: MKUU wa Wilaya ya Hanang mkoani Manyara, Christina Mndeme amewataka maofisa watendaji wa vijiji vya Kata ya Gendabi kuhakikisha...
Siku chache baada ya kuwepo kwa taarifa kwamba waziri wa michezo na utamaduni ataunda tume ya kuchunguza TOC, mwanaharakati na mkimbiaji Willlheim Gidabudayi ameibuka na kumuomba waziri asijaribu...
Haya matangazo Likuki ya Aitel Money kiladakika kwa kila radio eti ni free service...kwa nini wasiwe wazi kuwa ni from 01-99,000/=???? ukituma zaidi ya hapo ukikatwa unastahili kuwashtaki na...
Ndugu zangu kuna aja ya wananchi kuwa waalendo kwa nchi yao katika mambo ya msingi. Kuna nchi ambazo zimefikia hatua ya kwenda kumshitaki jirani yake iwapo anaharibu miundombinu au kukwepa kodi...
Zawadi pekee kutoka kwa viongozi ni sera nzuri zenye kumwezesha yule wa kipato cha chini huku zikijaribu kumsimamisha yule wa kipato cha kikubwa. Ukijenga kiwanja au daraja kwamwe haiwezi...
Mzee Mwinyi aibiwa sh milioni 37/-
• Apanda kizimbani Kisutu kutoa ushahidi wake
na Happiness Katabazi
Tanzania Daima
RAIS mstaafu wa awamu ya pili, Ally Hassan Mwinyi...
Wakuu,
Ni siku ya tatu leo huu mtandao haueleweki kbs. Nimekuwa najaribu kupiga simu zaidi ya mara 6 ndio nimpate ninayemhitaji. Msg za juzi ndo zina deliver leo. Hebu tusaidiane wananchi...
Taa za barabarani za uhasibu kurasini leo zimewaka. hii sehemu ilikua moja ya sehemu maarufu ya kutoa roho za watu kwa sababu ya ajali zilizokuwa zikitokea. Serikali ya ccm ijifunze utii wa sheria...
Kuna habari zisizo rasmi kupitia Radio Free Africa ya kwamba soko la Uyole huko Mbeya linaungua saa hizi. Mwenye habari zaidi tunaomba mtujuze.
Pia soma: Soko la Kariakoo lateketea kwa moto
Nipo kwenye daladala hapa natokea kutafuta mkate,redion namsikia kibonde na wenzie wanajadili kauli za akina mukana na Sumaye juu ya mustakabali wa RUSHWA,sasa kibonde amesema rushwa ipo kila...
Nakumbuka tokea nikiwa mdogo, nikiwa na kumbukumbu zangu sahihi hata leo nikiwa na miaka arobaini sasa duniani, rangi ya bahasha za kiofisi ni khaki na maneno ni yale yale, ON TANZANIA GOVERNMENT...
Nilikuwa jana ofisi za startimes Arusha maeneo ya Friends corner.Nilishangazwa na mlinzi kuwafanyia installment zile decoder zao na kuonyesha jinsi ya kuunganisha.Sasa huyu mlinzi anfanya kazi ya...
Nimesikia ya kwamba Serikali
imemsimamisha kazi Mkurugenzi mkuu wa bohari ya dawa Joseph Mgaya kutokana na kuidhinisha dawa bandia za
ARV. Pia mkaguzi wa bohari amesimamishwa; na kiwanda cha...
Kila ifikapo mwishoni mwa mwaka kuna watu wanaoshirikiana na viongozi kutoka ofisi ya serikali za mitaa, salasala mabanda mengi kuwaibia wananchi wa maeneo ya salasala kwa Babu na maeneo...
Katika kushughurikia maswala yangu katika ofisi za umma na katika mabenki nimebaini kuwa baadhi ya wafanyakazi nilio wasikia wanatumia neno "MAMA" wakimaanisha mkuu wao wa kazi, awali ilinipa...
Kwema wana JF,
Hivi hawa wamiliki wa huu mtandao wa simu wana undugu na serikali yetu au? wana matatizo na ni wezi na hata tunapolalamika hawachukuliwi sheria yoyote na mamlaka husika. Jana...
wana jf wenzangu hebu tujuzane labda mimi nina kaujinga kanastaili kuondolewa ntauliza kutumia mfano il mnielewe'mf,mimi nafanya kazi kwenye kampuni nikapewa target kwamba kwa mwezi niingizie...
A Nairobi court has stopped US President Barack Obama's half-brother from taking his three-year-old son to America and ordered him to produce the child in court.
Mr George Obama, 30, was sued...