Mbeya: Soko la Uyole liwaka moto

Mbeya: Soko la Uyole liwaka moto

Nimesikia lakini hata aliyetoa habari hana chanzo sahihi, hata yeye anategemea habari apewe na watu walio eneo la tukio, amedai habari inaweza kuthibitishwa baadaye. Hivyo kwa sasa ni tetesi.
 
Watu mlioko maeneo ya tukio tuoeni taarifa,tumepigiwa simu mida hii kutoka mbeya.tuhabarisheni vizuri wana jf mlioko maeneo ya tukio.
 
mkuu ungetyafuta hizo taarifa kwanza afu ndo uje uweke uzi huu,kichwa cha habari hapo juu kimeonesha una uhakika na tukio kumbe na we mwenyewe unaomba kujuzwa lol! WATANZANIA tuna kazi kubwa kweli kweli!
 
mkuu ungetyafuta hizo taarifa kwanza afu ndo uje uweke uzi huu,kichwa cha habari hapo juu kimeonesha una uhakika na tukio kumbe na we mwenyewe unaomba kujuzwa lol! WATANZANIA tuna kazi kubwa kweli kweli!

Ha ha kweli maana jana jana niliota resturant yangu inaungua nikajikuta asubuhi nawapigia watu ha ha!
 
Habari wana JF,

Kuna habari kwamba soko la Uyole Mbeya lawaka moto usiku huu!! Hizi ni habari za kusikitisha kama kuna ukweli!!
Kuna nini Mbeya hili ni soko la tatu sasa kuwaka moto hapo hapo mbeya mjini!!

Nawasilisha, mwenye taarifa atujuze.
 
Soko la Uyole mkoani Mbeya linateketea kwa moto, jitahada za kuuzima zinaendelea, chanzo cha moto huo bado hakijajulikana
 
I really fail to understand whats going on there. Kila siku masoko yanawaka moto Mbeya. Nimeanza kuingiwa na mashaka inawezekana ni hujuma hizi. Wahusika basi mtupe majibu, nini hasa kinasababisha masoko manne..Mwanjelwa, Sido, Uhindini, na sasa Uyole.
 
Kwa kweli ukifanyia biashara masoko ya Mbeya inabidi uwe na bima ya moto.
 
Back
Top Bottom