Baada ya kelele nyingi za JF, taa za Kurasini hatimaye zawaka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baada ya kelele nyingi za JF, taa za Kurasini hatimaye zawaka

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by figganigga, Oct 10, 2012.

 1. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #1
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,975
  Likes Received: 6,612
  Trophy Points: 280
  Taa za barabarani za uhasibu kurasini leo zimewaka. hii sehemu ilikua moja ya sehemu maarufu ya kutoa roho za watu kwa sababu ya ajali zilizokuwa zikitokea. Serikali ya ccm ijifunze utii wa sheria bila shuruti. mia
   
 2. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #2
  Oct 10, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,227
  Trophy Points: 280
  dah! Hatimaye taa za machinjioni zimewaka!
   
 3. awp

  awp JF-Expert Member

  #3
  Oct 10, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,714
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  so, machinjio yatapungua, thx.
   
 4. w

  white wizard JF-Expert Member

  #4
  Oct 10, 2012
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 2,462
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  ukiona zimewaka jua,kuna ki2 au kuna kiongozi atapita hapo cku c nyingi!mbona huwa zinawaka ila baada ya muda tena zinazimwa!
   
 5. Likasu

  Likasu JF-Expert Member

  #5
  Oct 10, 2012
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 694
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 45
  Napita ss hv zimeshazima.
   
 6. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #6
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,975
  Likes Received: 6,612
  Trophy Points: 280
  hata mimi nahisi hivyo. mia
   
 7. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #7
  Oct 10, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,227
  Trophy Points: 280
  kuna maonyesho sabasaba nini?
   
 8. P

  Pumb JF-Expert Member

  #8
  Oct 10, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 296
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Taa za kuongoza magari au taa za kupunguza giza kwa barabara?
   
 9. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #9
  Oct 11, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  ID zingine bwana sasa hii inatamkwaje mods kuweni makini
   
 10. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #10
  Oct 11, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,714
  Likes Received: 8,264
  Trophy Points: 280
  Hahahahahahaha.....umenchekesha usiku wote huu majirani si watasema nninawanga aisee...
   
 11. Bosi Michembe

  Bosi Michembe JF-Expert Member

  #11
  Oct 11, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 273
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Masaa matatu baada ya post yako taa zilizimwa jana tena mpaka leo maana nimepita hapo just 10 mins ago haziwaki.. Sijaelewa tatizo ni nini alhamisi 3 au 4 zilizopita JK alienda kufungua daraja la Kigamboni kwa mara ya kwanza ndio niliona barabara hii ikifagiliwa na kupunguzwa majani pembeni na taa siku hiyo zilifanya kazi siku nzima then kesho yake around saa tano zikazimwa.. Askari ni wengi nadhani kama kuna junction inayoongoza kuwa na maaskari wengi at the same time basi kurasini inaongoza, nshahesabu siku moja traffic walikuwa 6 na polisi wa bunduki wawili thats makes 8, lakini jamaa hawako interested kupunguza foleni au ajali wako busy kukamata malori yanayotoka bandari..
   
 12. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #12
  Oct 11, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,288
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280
  Labda alitaka kuandika Pumba, usiwaze vibaya harakaharaka mkuu. Au uliwazaje labda wewe??

   
 13. MANI

  MANI Platinum Member

  #13
  Oct 11, 2012
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,409
  Likes Received: 1,862
  Trophy Points: 280
  Kweli kabisa mkuu hizi taa sijui wameweka za nini !
   
 14. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #14
  Oct 11, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,227
  Trophy Points: 280
  wameweka urembo.....ili temeke ionekane ina taa barabarani
   
Loading...