Ofisi ya serikali za mitaa salasala mabanda mengi ni kituo cha rushwa rasmi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ofisi ya serikali za mitaa salasala mabanda mengi ni kituo cha rushwa rasmi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MELEKIZEDECK, Oct 11, 2012.

 1. M

  MELEKIZEDECK Member

  #1
  Oct 11, 2012
  Joined: Sep 25, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kila ifikapo mwishoni mwa mwaka kuna watu wanaoshirikiana na viongozi kutoka ofisi ya serikali za mitaa, salasala mabanda mengi kuwaibia wananchi wa maeneo ya salasala kwa Babu na maeneo mengine.Watu hao hujitambulisha kama wafanyakazi wa TRA, watu hao husumbua wafanyabiashara wa maeneo hayo kwa kuwabebea vitu kama mizani na kvipeleka kwenye hiyo ofisi ya serikali za mitaa salasala mabanda mengi, mara wafikapo huko huwatoza wafanyabiashara fedha bila risiti yoyote. tulijaribu kufuatilia TRA tegete wao wakasema hawalitambui zoezi hilo kwani wao hutoa taarifa hii ilikuwa mwaka jana, na mwaka huu wezi hao wakitumia hiyo ofisi hiyo moja kwa moja walikomba mapesa hayo tena.
   
 2. z

  zamlock JF-Expert Member

  #2
  Oct 11, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  poleni ndo mbinu mbadala ya wao kujitafutia kipato chao
   
 3. Kimbori

  Kimbori JF-Expert Member

  #3
  Oct 11, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 2,738
  Likes Received: 357
  Trophy Points: 180
  Kwa hiyo wale jamaa waliokuwa wanapita mwezi uliopita walikuwa makanjanja? Sishangai sana kusikia TRA bandia kwa kuwa nimeshasikia TANESCO bandia, viwanda bandia na sasa kuna filamu inayoendelea ya ARV b
  andia.
   
Loading...