Askari wa selious game aua mwanafunzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Askari wa selious game aua mwanafunzi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MndemeF, Oct 10, 2012.

 1. M

  MndemeF Member

  #1
  Oct 10, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana jamii hv kweli hii ni sawa kwa askari wa selous game kuua mwanafunzi aliyekuwa anavua samaki ndani ya hifadhi?
   
 2. kupe

  kupe JF-Expert Member

  #2
  Oct 11, 2012
  Joined: Jul 26, 2012
  Messages: 1,025
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Ndio sawa kama ni mwanafunzi angekuwa darasani. Hao ndio majangiri wanazuga na uniform mbugani wanatafuta faru wa kikwete
   
 3. K

  Kolero JF-Expert Member

  #3
  Oct 11, 2012
  Joined: Apr 11, 2010
  Messages: 493
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Tatizo la hao askari wanafikiri zaidi kinyama kuliko kibinadamu, ni sawa hiyo hifadhi, lakini hakuweza kutumia njia nyingine mbadala kumkamata badala ya kumuua? Wanyama ama samaki nini bwana! Na jamii inayozunguka hifadhi hiyo kubwa kuliko zote Tanzania wanafaidika katika nn? na hata huyo askari najua katekeleza tu sheria na bado analalamika mazingira ya kazi yalivyokuwa magumu. Imefikia wakati kupima kati ya samaki na binadamu yupi analeta maendeleo ya nchi, hao samaki wanahifadhiwa ili iweje na kwa faida ya nani? Inatia uchungu sana.
   
 4. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #4
  Oct 11, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  wasi wasi wangu ni pale watanzania watakapochukulia kwamba kufa ni kitu kidogo na cha kawaida halafu roho ya kisasi ikawaingia walah hatabaki mtu na hatakuwepo wa kuwatuliza na hata wakiwatuliza wema wao wa asili utakuwa umeshayeyuka tayari.
   
 5. n

  ndomyana JF-Expert Member

  #5
  Oct 11, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 4,731
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  mkuu ungemwona jinsi yule mama mjane anavomlilia mtoto wake aliekua anamtegemea kamwe usingetoa hiyo kauli,. Omba Mungu akusamehe
   
 6. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #6
  Oct 11, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Mkuu kwa kuwa hayajakupata
   
 7. Mr. Bigman

  Mr. Bigman JF-Expert Member

  #7
  Oct 11, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,848
  Likes Received: 627
  Trophy Points: 280
  Samaki wawili au watatu tu? Ndio watoe roho ya mtoto? Embu kuweni na busara nyie magamba! Mnajua mnapandikiza chuki? Ebo!
   
Loading...