Kuna tatizo gani mtandao wa Vodacom jamani?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna tatizo gani mtandao wa Vodacom jamani??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Facilitator, Oct 11, 2012.

 1. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #1
  Oct 11, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,288
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280
  Wakuu,

  Ni siku ya tatu leo huu mtandao haueleweki kbs. Nimekuwa najaribu kupiga simu zaidi ya mara 6 ndio nimpate ninayemhitaji. Msg za juzi ndo zina deliver leo. Hebu tusaidiane wananchi wenzangu
  , nini tatizo??
   
 2. S

  Submissive Member

  #2
  Oct 11, 2012
  Joined: Sep 19, 2012
  Messages: 73
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni namba moja tu unapiga au inakuwa na hilo tatizo au ni namba nyingi? Je watumiaji wengine pembeni yako wanakutana na tatizo hilo, na uko wapi?
   
 3. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #3
  Oct 11, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,288
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280
  Kila namba ninayopiga tatizo ni hilohilo, na kila mtumiaji wa huu mtandao analalamika tatizo hili
   
 4. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #4
  Oct 11, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Wewe kwani upo sehemu gani ya nchi, usije ukawa huko mipakani
   
 5. S

  Submissive Member

  #5
  Oct 11, 2012
  Joined: Sep 19, 2012
  Messages: 73
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu, toa maelezo sahihi ya sehemu uliopo, acha propaganda. Hakuna kitu kama hicho. "No research no right to speak". Cheki simu yako, cheki watumiaji wengine, check everthing before hujasema tu. haiwezekani sms zikawe delivered baada ya siku tatu. Ungekuta kila mtu anapiga kelele.
   
Loading...