Kibonde aiweka REHANI AJIARA YAKE | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kibonde aiweka REHANI AJIARA YAKE

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bajabiri, Oct 9, 2012.

 1. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #1
  Oct 9, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Nipo kwenye daladala hapa natokea kutafuta mkate,redion namsikia kibonde na wenzie wanajadili kauli za akina mukana na Sumaye juu ya mustakabali wa RUSHWA,sasa kibonde amesema rushwa ipo kila chama, na amejigamba kuwa KAMA KUNA MWANASIASA AMBAYE ANAAMINI CHAMA CHAKE HAKIJIHUSIHSI NA RUSHWA AJITOKEZE HATA SASA HIVI YEYE ATAACHA KAZI.............
  Ila naamini kuwa huenda kabla kipindi hakijaisha anaweza akaibuka mwanasiasa kuthibitisha kuwa chama chake hakijihusishi na RUSHWA na hatimaye ajira ya kibonde itaota MBAWA
   
 2. Nokla

  Nokla JF-Expert Member

  #2
  Oct 9, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 2,121
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 160
  huyo mwanasiasa atakaye jitokeza ili ashindane na Kibonde nae atakuwa 'KIBONDE"
   
 3. Scofied

  Scofied JF-Expert Member

  #3
  Oct 9, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 199
  Trophy Points: 160
  kuna matatizo yanamsumbua huyu jamaa...si yeye mkuu...anahitaji ushauri nasaha wa kina..
   
 4. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #4
  Oct 9, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Usipoteze muda kumjadili kibonde, tafuta jambo jengine la kufanya.
   
 5. Root

  Root JF-Expert Member

  #5
  Oct 9, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,301
  Likes Received: 13,011
  Trophy Points: 280
  Wazazi angalieni majina ya kuwapa watoto wenu

  Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
   
 6. kibol

  kibol JF-Expert Member

  #6
  Oct 9, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 3,139
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Kipindi chao jahazi kinasubsession wanaiita mastori ya town,huwa ni kuzungumza whatsover comes in your mind,hamna la ajabu apo zaidi ya porojo zao za kila siku.
   
 7. mhalisi

  mhalisi JF-Expert Member

  #7
  Oct 9, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,181
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  hapo Kibonde anaisaidia CCM kwa kumkosoa Sumaye indirect, lengo la Kibonde ni ionekane rushwa haipo CCM tu.
   
 8. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #8
  Oct 9, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  MAKOSA

  AJIARA-ajira
  redion-redioni
  mukana-mukama
  mustakabali wa rushwa-what is this??

  Kibonde ni mganga njaa! pale clouds anapiga deiwaka eti anajiita Chief Editor wa Clouds media group! kwa elimu ipi??
   
 9. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #9
  Oct 9, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Kama alichosem ndo kilichotoka kwenye mind yake, basi hana mind".....au tuseme akili au ndani ya kichwa chake kuna uji wa mtama.
   
 10. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #10
  Oct 9, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,288
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280
  Sasa mwenzio si ameshatangulia kusema yupo kwenye daladala?? Inawezekana ameandika akiwa kasimamia mguu mmoja. Daladala za mbagala kitu ingine wewe!!
   
 11. Domy

  Domy JF-Expert Member

  #11
  Oct 9, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 4,702
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Analitumia vizuri jina lake,'KIBONDE'
   
 12. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #12
  Oct 9, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,277
  Trophy Points: 280
  Kwa nini hili jambo usingeshare na marafiki zako kule facebook? do you really think JF ni sehemu ya kujadili mahayawani?
   
 13. shimwemwe

  shimwemwe Member

  #13
  Oct 9, 2012
  Joined: Aug 7, 2012
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  kibonde ni sawa na jina lake ukweli anafanana na maneno yake jamaa anatafuta pa kushika hadi sasa, hivyo sasa point zake zimepitwa na majibu anayoyataka atapata mda si mrefu,
   
 14. kibol

  kibol JF-Expert Member

  #14
  Oct 9, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 3,139
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  mkuu wanaoumiza kichwa juu ya kibonde mimi huwa siwaelewi kabisa,jina lake lenyewe ni tosha kabisa kuelezea yeye ni mtu wa namna gani.
   
 15. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #15
  Oct 9, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Umenena vema ndugu
   
 16. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #16
  Oct 9, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  sina muda wa kujadili mtu mwenye Ukimwi anayezidi kuuwa watoto wa watu

  Jiulize kwanini aliumia sana walipogundua imeingia ARV feki?
   
 17. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #17
  Oct 9, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Huu ni unyanyapaa, hata kama Kibonde ni mropokaji lakini anastahili FARAJA NA UPENDO KAMA WAGONJWA WENGINE...
   
 18. yaser

  yaser JF-Expert Member

  #18
  Oct 9, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 1,373
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  sasa ajira yke kaweka rehan kiaje...
   
 19. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #19
  Oct 9, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,371
  Likes Received: 629
  Trophy Points: 280
  ...Word!
   
 20. NEW NOEL

  NEW NOEL JF-Expert Member

  #20
  Oct 9, 2012
  Joined: May 21, 2011
  Messages: 838
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 60
  uwa ikija thread inayomuhusu Kibonde,hata kama nimenuna lazima nitacheka tu. Alafu sasa wewe tazama jinsi inavyojaza wachangiaji
   
Loading...