Nakumbuka tokea nikiwa mdogo, nikiwa na kumbukumbu zangu sahihi hata leo nikiwa na miaka arobaini sasa duniani, rangi ya bahasha za kiofisi ni khaki na maneno ni yale yale, ON TANZANIA GOVERNMENT SERVICE .....ECONOMY...OPEN carefully,....RE-USE with Economy Label.
Hivi ni kweli tumekosa ubunifu angalau kwa miongo yote hiyo? si muhimu sana lakini binafsi sielewi...!
Hivi ni kweli tumekosa ubunifu angalau kwa miongo yote hiyo? si muhimu sana lakini binafsi sielewi...!


