Utii wa sheria bila shuruti | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utii wa sheria bila shuruti

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by HUGO CHAVES, Oct 11, 2012.

 1. HUGO CHAVES

  HUGO CHAVES JF-Expert Member

  #1
  Oct 11, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 1,852
  Likes Received: 235
  Trophy Points: 160
  HAKIKA UMEFIKA WAKATI SASA JESHI LETU LA POLISI KUTII SHERIA BILA SHURUTI ,TUMESHUHUDIA MATUKIO MENGI YAKIIGUSA TAASISI HII HAPA NCHINI ,HUSUSAN MAUAJI ,PENGINE RIPOTI YA MWANDISHI MWANGOSI MUNGU AMREHEMU IKABAINISHA NANI ALIHUSIKA NA NANI HAKUHUSIKA ,TUNA MATARAJIO MAKUBWA HASA LINAPOKUJA SUALA LA UTII WA SHERIA BILA SHURUTI KUMGUSA RAIA WA KAWAIDA SHERIA IFUATWE PIA UPANDE WA PILI WAKUBWA NAO HUFANYA MAKOSA WATII SHERIA BILA SHURUTI .nawasilisha
   
Loading...