mkwara wa UDA

Zamaulid

JF-Expert Member
May 25, 2009
18,656
13,481
check mkakati wa uda!!!!watatoka na mabasi kama ifuatavyo!

  • mabasi maalumu ya kubeba wanafunzi

  • kutakuwa na mabasi maalumu ya kubeba wanawake pekee yatakayojulikana kwa jina la ‘Malaika’ eti lengo ni kuwaepusha wanawake na vikumbo vya wanaume!!

  • mabasi ya daraja maalum ambayo yatatoa huduma kwa watu wasiotaka kutumia usafiri wa umma ambayo yatakuwa na kiyoyozi, huduma mbalimbali ikiwa ni pamoja na kusoma magazeti, vinywaji baridi

  • mabasi mengine maalumu kwa ajili ya kukodisha kwa taasisi mbalimbali za umma na binafsi ambazo zinataka kubana matumizi ya usafiri kwa wafanyakazi
 
jamani hawa UDA wana tutaka nini wanaume!!!nimwache wife apande gari mi niendelee kusubiri!!usalama wake huko anakoenda itakuwaje!!!!
 
check mkakati wa uda!!!!watatoka na mabasi kama ifuatavyo!

  • mabasi maalumu ya kubeba wanafunzi

  • kutakuwa na mabasi maalumu ya kubeba wanawake pekee yatakayojulikana kwa jina la ‘Malaika' eti lengo ni kuwaepusha wanawake na vikumbo vya wanaume!!

  • mabasi ya daraja maalum ambayo yatatoa huduma kwa watu wasiotaka kutumia usafiri wa umma ambayo yatakuwa na kiyoyozi, huduma mbalimbali ikiwa ni pamoja na kusoma magazeti, vinywaji baridi

  • mabasi mengine maalumu kwa ajili ya kukodisha kwa taasisi mbalimbali za umma na binafsi ambazo zinataka kubana matumizi ya usafiri kwa wafanyakazi

Ni radi wa kwenye makaratasi zaidi kuliko uhalisia
 
let pray for the success Ngalikihinja!!!!ila hii issue ya kutuvunjia ndoa zetu kwa muda bado haijaniingia kwa kichwa kabisaaa!!
 
Last edited by a moderator:
jamani hawa UDA wana tutaka nini wanaume!!!nimwache wife apande gari mi niendelee kusubiri!!usalama wake huko anakoenda itakuwaje!!!!

je malaika yataendeshwa na wanawake????na makondakta je????inspector???hahahahaaa
 
Eeeh UDAAAAA.......ama mkwara mzito. Ukichanganya na yale ya mwendo mbio (the so called kasi), treni za Tazara na Kati, tunaomba Mungu atusaidie huko barabarani kupitike! Manake hatuchelewi kufika makazini saa nne, kisa hamna sehemu za kupita tena, heri yao watakao kuwa kwenye hayo yenye viyoyozi, vinywaji baridi na magazeti! :canada:
 
it begin with u n ur wyf,utakubali atekenywe na wanaume wakat akiggombania daladala???
mmmh!,we huko anako tangulia na kina kisena unapaamini!!!bado,DCM bado hazijaisha!!!nitaendelea kuchelewa kwenye majukumu kuliko kumtanguliza!! ha ha ha!
 
Eeeh UDAAAAA.......ama mkwara mzito. Ukichanganya na yale ya mwendo mbio (the so called kasi), treni za Tazara na Kati, tunaomba Mungu atusaidie huko barabarani kupitike! Manake hatuchelewi kufika makazini saa nne, kisa hamba sehemu za kupita tena, heri yao watakao kuwa kwenye hayo yenye viyoyozi, vinywaji baridi na magazeti!
sijui na safari zitakuwemo!!!!tutakuwa tunafika kazi safiiii!!
 
me niliskia juu juu tu kwenye magazeti,,,,pia ningependekeza malaika yasimamishwe na traffic wa kike

ha ha ha ha ha!!@Bajabiri hapo kwenye traffic umefikiri mbali sana!!!aisss....
 
Eeeh UDAAAAA.......ama mkwara mzito. Ukichanganya na yale ya mwendo mbio (the so called kasi), treni za Tazara na Kati, tunaomba Mungu atusaidie huko barabarani kupitike! Manake hatuchelewi kufika makazini saa nne, kisa hamna sehemu za kupita tena, heri yao watakao kuwa kwenye hayo yenye viyoyozi, vinywaji baridi na magazeti! :canada:

usisahau na ajali,,,,,,pia kuna barabara za angani chezea jeikei
 
je malaika yataendeshwa na wanawake????na makondakta je????inspector???hahahahaaa
najiuliza eti wale ma-kaka poa,a.k.a mabwaba watakuwa wanapanda malaika!!!!!maana hata wenyewe ni laini hawawezi kuhimili vikumbo!!
 
Back
Top Bottom