Vodacom wasema miamala ya mpesa yafika bil 35 per day..je serikali mpo kodi mnakata kweli?
uwiiii.. ngoja tuanze kuwaibia kwa ku swap numbers..
Kivipi mkuu?? Ndo naskia kwako leo
ngoja niku PM nikupe maujanja au kama vipi nipe namba yako ya simu nikutwangie nikupe maujanja inakuwaje