Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Naomba wahusika waangalie suala la mama ntilie waliojipanga nyerere road kuanzia jet kuja mjini kwani wanapika nje nje utafikili wapo nyumbani kwao hasa wkt wa asbh..kwa mm naona haipo sahihi...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Wadau, naombeni ushauri, mimi na wenzangu tulianzisha NGO ikasajiliwa mwaka 2007. Shughuli zake ni kusaidia jamii ya watanzania, walio ktk mazingira magumu na wanaoishi ktk umaskini...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere was the father of southern African iberation, and one of the founding fathers of the Southern African Development Community. Born in Butiama near Lake...
0 Reactions
1 Replies
982 Views
Kama unataka kudanganya na kupotosha uma, basi ni afadhali hata utumie akili japo kidogo, si kama alivyojidhihirisha huyu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Liberatus Barlow, kwa kile alichokisema...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Goli la Drogba lazua vurugu na kukatisha mchezo kutoisha Bovya hapa kuangalia live video Drogba's goals spark riot in Senegal
0 Reactions
0 Replies
2K Views
...ni dhahili kwamba nchi za Afrika na hasa Tanzania zinaendelea kuwa nyuma kimaendeleo ya kiuchumi kutokana na uongozi mbaya/mbovu. Hii imepelekea rushwa, ufisadi na uwajibikaji duni kutawala...
0 Reactions
0 Replies
900 Views
Wanajamvi leo naomba nia post hili hapa kwenye general forum ila nimeumia sana nafsini na siriaz najiuliza nini hatima ya hii nchi ama ya tunakoelekea? naomba ni nunukuu huu ujumbe kisha wewe utoe...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Ukichunguza kilichotokea Mbagala hivi karibuni ambapo makanisa yalichomwa moto na wahuni waliojiita waislam, unagundua kuwa kumbe kilichosababisha vurugu si kitendo cha mtoto kunajisi Korani bali...
2 Reactions
28 Replies
4K Views
Siasa za nchi yetu bana kama betri za mchina vile, huwezi jua ipi feki na ipi orijino. Utaona simu iko 'low battery' lakini inadunda hata siku mbili bila kuzima, nyingine iko 'full charge', na...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
I think we shouldn't focus much on the symptoms but let's find the root cause. In any society if people respect each other then the society will remain peaceful. But if one group thinks is...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama bodi hii iliundwa kwa ajili ya kuwafanya watoto wa walala hoi waweze kuendelea na elimu ya juu lakini watoto hawahawa ndo wananyimwa mikopo mfano wanafunzi kadhaa wamenyimwa mkopo mara 2...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Wajumbe wamewasili hapa iwawa na shangingi tatu. Wanafanya maandalizi ya mawasiliano
0 Reactions
29 Replies
2K Views
Wafanyakazi wa vyuo vikuu vya umma waliopandishwa vyeo kuanzia julai 2010 na kuendelea hawajalipwa nyongeza za miaka hiyo. Serikali ijitahidi kuwajibika kwa wananchi wake kama kweli lengo ni...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
kuna tatizo kwa wazazi/walezi wenye watoto ambao wanasoma baadhi ya shule za bweni. Nina ndugu yangu yuko shule ya msingi mkoani morogoro std 3 katika hali ya kustaajabisha yeye na mwenzake...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Imagine una oga kwenye bafu la passport size akaja mtoto akachukua nguo zako pamoja na taulo,ukatoka nje uchi wa mnyama ukaanza kumkimbiza,nani ataonekana chizi?? Hii scenario inafanana na sakata...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimestushwa na kusikitishwa na mauaji ya RPC wa Mwanza. Nikaanza tafakuri ...... Hivi kwanini wamwue? Wanadamu upendo umeenda wapi?......... Kama ilibidi RPC mmoja aondoke kwanini asiwe...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
 TAARIFA kutoka mkoani Iringa ambazo zimeufikia mtandao huu wawww.francisgodwin.blogspot.com asubuhi hii zinadai kuwa aliyekuwa mweka hazina wa chama cha waandishi wa habari...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Nimeonelea kuifanya hii ili kumuenzi ikiwa leo ni kumbukumbu ya kifo chake. "No nation has the right to make decision for another nation,no people for another people".Jk Nyerere for his peace...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakati tukiazimisha miaka 13 ya KIFO CHA mwalimu mimi niliamua kumuenzi kwa kwa kwenda kupumzika MAKABURINI. Najua wengi watanishangaa na kujiuliza maswali mengi, na wengine wanaweza niona kama...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari za wakati huu ndugu watanzania wenzangu. Kwa muda mrefu sasa nimekuwa na lundo la maswali ninayoishia kujiuliza mwenyewe na kukosa majibu sahihi. Hivi kwa nini hawa watanzania wenzetu (japo...
0 Reactions
2 Replies
914 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…