Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Baada ya uchaguzi wa hivi karibuni nimesikitika sana kusikia mtu mmoja anavyeo zaidi ya vitatu ndio kusema wengine hawaweziii??mtu Mbunge/Diwani huyo huyo mwenyekiti,mjumbe wa NEC,kamat ya fedha...
0 Reactions
4 Replies
930 Views
Amewataka waliokuwa wafuasi wake waliofanya kazi naye kwa matukio ya kutisha BAKWATA, kuvamia kiwanja yaliyotokea mbagala amesema ni matokeo ya kazi ya taasisi yake. Pia amekamatwa kwa uchochezi...
0 Reactions
56 Replies
4K Views
Na Mahmoud Zubeiry MWENYEKITI wa klabu ya Yanga ya Dar es Salaam, Yussuf Mehboob Manji kesho anatarajiwa kwenda Makka, Saudia Arabia kufanya ibada ya Hijja.Habari ambazo BIN ZUBEIRY imezipata...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Asalaam wana Jf..! Tanzania tumekuwa kuwa na maadui wakubwa siku zote watatu..,maradhi,umaskini na ujinga..! sasa limezuka tatizo jingine la udini..,ambalo limeanzishwa na kikundi cha watu wenye...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Mawe yametoboa vioo vingi Katika madhabahu,pameharibiwa Mabenchi yamepinduliwa na kuvunjwa Mimbari imechomwa na kuharibiwa Ofisi ya Kanisa imechomwa moto Wachungaji wa kanisa...
7 Reactions
474 Replies
49K Views
Watoto wa haraiki waliokuwepo kwenye maadhizisho ya kuzima mwenge mkoani shinyanga. Wameandamana mpaka ofisi ya mkuu wa mkoa shinyanga kudai pesa yao ambayo hawajalipwa. Wanaimba kuwa wanataka...
1 Reactions
55 Replies
4K Views
wanajanvi, nchi iko rehani kiuisalama. matukio ya hivi karuibuni yasikitisha, nilitegemea dr angetoa tamko lakini kimya au kwakuwa hana uhakika na msimamo wa ndani wa boss wake katika hili?
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Nimenunua umeme wa luku kwa NMB mobile, wamekata 20,000/- hawajaleta SMS ya units mpaka sasa, ila ilikuja tu page ya kuonyesha hizo units na ikaondoka ktk screen. Nikatuma 5000/- kwa Mpesa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
jamani wana jf.....kusema kweli haya mambo tusipoyaangilia nchi inaweza kuingia kwenye vita kubwa ya udini 1.mihadhara ya dini......haya mambo ya mihadhara ya dini....ipigwe marufuku maana chanzo...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
“Her capacity to mix technical expertise and a relentless vision inspired, motivated and moved women to embrace technology instead of avoiding or ignoring it.” Dr. Anita...
0 Reactions
0 Replies
725 Views
"kuanzia leo watu wote lazima wafuate sheria hukuakisisitiza kuhusu jambo hilo amesema 'mambo ya kutofuata sheria, mambo ya kudhani kuna wengine wako juu ya sheria yamepitwa na wakati kuanzia leo"...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Wanajamvi hebu tutoe maoni, ushauri kwa Viongozi wetu kwa matukio hayo mawili ya kutekwa na kukamatwa kwa viongozi wa Imani. Je kunatatua tatizo au kunazalisha matatizo mengine. Imetokea kwa...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wameru wametoa taadhari kwa wanaochoma makanisa wasithubutu kukanyaga meru choma makanisa kwani hatasubiri dhaifu aje awacheke kama alivyofanya mbagala,watalipiza kwa nguvu zote,kwa sababu...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
naona sasa dar imekuwa sehemu ya migomo kila kukicha leo tulizuiwa njia kisa wafuasi wa shekhee mponda kesho sijui tutasimamishwa wapi kwenye foleni au kunajengo litachomwa maana sasa hivi dar...
0 Reactions
0 Replies
899 Views
Wednesday, October 17, 2012 Waziri Mkuu,Mizengo Pinda na Mkewe Tunu wakisalimiana ana wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza kabla ya kuzungumza na watanzania waishio nchini...
0 Reactions
18 Replies
1K Views
*Adai kuangusha magari 15, auwa watu 15 mpaka sasa. *Aonesha ngozi ya mtoto wa miaka miwili. Mwanamke aliyejitambulisha kwa jina la Belikumana Lugome(48), Mkazi wa Kijiji cha Parangu Songea...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
wadau kuna nyumba inaungua moto tabata relini mpaka sasa hakuna msaada wa zima moto. source clouds fm m.dayo
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Katika hali isiyotarajiwa wanafunzi wa shule ya msingi mjini Shinyanga na vitongoji vyake wameandama huku wakiimba nyimbo za kuhamasishana kudai ahadi ya malipo yao baada ya halaiki...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
watoto ambao walipamba gwaride la mwenge(halaiki)shinyanga wameandamana kwenda kwenye ofic ya mkuu wa mkoa,kudai posho zao walizoa hidiwa kuwa cku ya mwisho wangepata,cha ajabu hadi leo wanaona...
0 Reactions
0 Replies
785 Views
Good evening wakuu; Kwa muda mrefu sana nimekuwa nafuatilia bonus ya salio katika simu kwa mtandao wa Vodacom. Ni kwamba ukiongeza salio kwa njia ya M-Pesa unapata bonus ya asilimia 25. Kwa hiyo...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…