moto unateketeza nyumba tabata relini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

moto unateketeza nyumba tabata relini

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by SIR JAPHET, Oct 17, 2012.

 1. S

  SIR JAPHET Member

  #1
  Oct 17, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wadau kuna nyumba inaungua moto tabata relini mpaka sasa hakuna msaada wa zima moto. source clouds fm m.dayo
   
 2. Adolph

  Adolph JF-Expert Member

  #2
  Oct 17, 2012
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 870
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  fire hazina maji au zimekwama kwenye foleni...
   
 3. kanywaino

  kanywaino Senior Member

  #3
  Oct 17, 2012
  Joined: Sep 10, 2010
  Messages: 171
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  mmiliki ni dini gani tujue kama ndio wameanza kazi au short ya umeme
   
 4. Chilisosi

  Chilisosi JF-Expert Member

  #4
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 19, 2008
  Messages: 3,055
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  mmiliki ni mkristo na inasemekana kundi kubwa la watu waliovaa nguo ndefu nyeupe na tu kofia tweupe walionekana wakiwa na jazba huku wameshika viberiti wakiandamana. pia kulikuwa na kundi jingine la maninja waliojifunika uso mzima na kubakiza tu macho tu walionekana wakitembea kwa hasrira huku wakisema death to america
   
 5. Che Guevara

  Che Guevara JF-Expert Member

  #5
  Oct 17, 2012
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 1,178
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  Acha utani bana!
  Anyway pole kwa mmiliki na wapangaji (kama imepangishwa). Let's hope that there's no life lost.
   
 6. n

  nlambaa JF-Expert Member

  #6
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 363
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Duh!pole kwa wale wote waliofikwa na madhira haya ya kuunguliwa na nyumba maana kwa sisi watanzania wengi huwa hatuna kawaida ya kukata bima kwa ajili ya nyumba zetu ambapo insurance company ingeweza kufidia hasara hiyo. Pia kwa foleni za Dar sijui kama magari ya fire yatakuwa yamewahi.
   
Loading...