halaiki waandamana kudai posho zao za mbio za mwenge,shinyanga! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

halaiki waandamana kudai posho zao za mbio za mwenge,shinyanga!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by white wizard, Oct 17, 2012.

 1. w

  white wizard JF-Expert Member

  #1
  Oct 17, 2012
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 2,462
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  watoto ambao walipamba gwaride la mwenge(halaiki)shinyanga wameandamana kwenda kwenye ofic ya mkuu wa mkoa,kudai posho zao walizoa hidiwa kuwa cku ya mwisho wangepata,cha ajabu hadi leo wanaona kimya!Rc anaulizwa anadai hao watoto wanachochewa ama kisiasa/wazazi wao!kwani makubaliano yao yalikuwa ni kuachiwa hayo mavazi watakayoya2mia cku ya kilele tu!ila anaona kuna mambo ya kisiasa hapo'kweli nchi hii mpaka watoto wameshaona kuwa bila maandamano hakieleweki!tunawaandaa vipi?na kwanini viongozi kila kitu wanakimbilia kuna kuna shinikizo la kisiasa,ina maana wamekuwa waoga kiasi hicho"mungu ibariki Tz. source.star tv(habari:
   
Loading...