Pinda azungumza na watanzania nchini uingereza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pinda azungumza na watanzania nchini uingereza

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by nngu007, Oct 17, 2012.

 1. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #1
  Oct 17, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  [h=2]Wednesday, October 17, 2012[/h][h=3][/h]


  [​IMG]Waziri Mkuu,Mizengo Pinda na Mkewe Tunu wakisalimiana ana wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza kabla ya kuzungumza na watanzania waishio nchini uingereza jijini London Oktoba 16, 2012. Kulia ni Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Peter Kallaghe.
  [​IMG]Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama kitabu cha wageni baada ya kuwasili kwenye ubalozi wa Tanzani nchini Uingereza uliopo London kuzunumza na Watanzania waishio Uingereza Oktoba 16, 2012. Kushoto ni mkewe Tunu na kulia ni Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Peter Kallaghe.
  [​IMG]Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu wakiwa na Mtangazaji wa Shirika la Habari la Uingereza BBC, Zawadi Machibya (kulia) wakati alipozungumza na Watanzania waishio Uingereza, kwenye Ubalozi wa Tanzania uliopo London Oktoba 16, 2012.
  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)   
 2. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #2
  Oct 17, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145

  Safari ya Uingereza; Kuongea tu na WATANZANIA wa huko... NCHI ina PESA!!!
   
 3. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #3
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  DUHH HUYU NAE YUKO SAFARINI
  mBONA KIMYA KIMY AHATA WATANZANIA HAWAJUI
  KWELI NCHI INA PESA
   
 4. Christine1

  Christine1 JF-Expert Member

  #4
  Oct 17, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 12,275
  Likes Received: 1,203
  Trophy Points: 280
  Halafu huku hom hali ya amani ni tete
   
 5. F

  FJM JF-Expert Member

  #5
  Oct 17, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Mwambieni arudi nyumbani, kunawaka moto. Ponda yuko korokoroni.
   
 6. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #6
  Oct 17, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Mwache na yeye akasafishe macho kila siku mkulu ndo anasafiri peke yake tu mwache na mwanaKatavi wetu akirudi apate cha kusimulia kule kwake Mpimbwe
   
 7. L

  LELOSA Member

  #7
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 17, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Anatafuta wawekezaji!!!
   
 8. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #8
  Oct 17, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Amekwenda kupima afya yake kabla ya maswali ya papo kwa papo!!
   
 9. Thanda

  Thanda JF-Expert Member

  #9
  Oct 17, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,915
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Rais is away, PM is away, VP is away....who is in the state house? first lady and grands? or bibi also is away?...I can smell army mutiny here!!
   
 10. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #10
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280

  hahahahahah mkuu Thanda bado kuna CJ nafikiri yupo yupo
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. Thanda

  Thanda JF-Expert Member

  #11
  Oct 17, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,915
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mr Rocky ukichunguza sana unawezakuta "The Big five wote hawapo nchini"
   
 12. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #12
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Mkuu Thanda ndani ya tanzania kila kitu kinawezekana
  Wanakula maisha bana kwani bongo kuna raha gani
  Spika yuko India, Rais Oman na Waziri mkuu Uingereza na ukiuliza unaweza kuambiwa hata huyo CJ hayupo
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. Thanda

  Thanda JF-Expert Member

  #13
  Oct 17, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,915
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Serikali yetu hapa jambo kama hilo likifanyika, wote wanachunguzwa mara moja.....niliona juzi tu ukarabati wa nyumba ya Jacob Zuma umegharimiwa na serikali, lakini ingawa yeye ni rais wa nchi..anachunguzwa na huenda akahojiwa na vyombo vya usalama kuhusu matumizi sahihi ya ukarabati huo.....kuna kelele kuwa fedha iliyotumika ni nyingi mno.
   
 14. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #14
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280

  Mkuu Thanda kwa wenzetu kila kitu kinawezekana ila hapa unapounda tume kucchunguza wajumbe wa tume wanapewa hela ndefu na nyingine ambazo hatuambiwi zinawekwa kwenye account at the end of the day wanakuja na report ya kuwapongeza na kuwasifia waliofanya jambo hilo na inaonekana hakuna makosa kabisa wala ufisadi
  Bado tuna safari ndefu sana kufikia kwenye accountability ya kiongozi mmoja mmoja au watawala wetu
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #15
  Oct 17, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Kweli anadiriki kwenda kutalii wakati Jk na Membe wote nao wako Oman!

  Jamani Nchi yetu inakoenda siyo kwenyewe kbs!

  Hili siliungi mkono kamwe!
   
 16. Thanda

  Thanda JF-Expert Member

  #16
  Oct 17, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,915
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Nchi yangu Tanzania.pole sana. Siku moja JK alimwuliza Lt Col. Ian Khama Seretse Khama (Rais wa Botswana) nini chanzo cha mafanikio ya nchi yake kiuchumi, na kijamii aligusia kidogo kwani ilkuwa ni pale Tlokweng katika mlo ulioandaliwa na Rais...(katika mlo huo tulifungua kinywa na kgosi nyama kavu zilizopondwa pondwa. Niseme ni nyama pori vile. Majibu yalikuwa mepesi sana lakini yenye uzito kimantiki. 1.WAJENGE VIONGOZI KATIKA MFUMO DUME HATA KAMA NI WANAWAKE 2.EPUKA KUWADANGANYA RAIA ZAKO KUHUSU JAMBO LOLOTE AMBALO WAO WANALIONA KATIKA MTAZAMO TOFAUTI..3 UKISIKIA MALALAMIKO YA WANANCHI ELEKEA KWENYE MEDIA HARAKA NA IKIWEZEKANA TANGAZA HALI YA HATARI KUHUSU JAMBO HILO MOJA AMBALO LINAWEZA LETA MADHARA. 4 MWISHO KUWA MKWELI ANGALAU KWA 98% WEWE BINAFSI NA ROHO YAKO NA WALA USIMBEBE MTU YEYOTE HATA KAMA NI RAFIKI YAKO WA KARIBU. Haya maneno sijayatunga yako katika mfumo wa electronic naweza kuyaposti....wa kaya alijihisi mnyonge sana ila alikubali kwa shingo upande lakini huo ndio uliokuwa ukweli.
   
 17. n

  nlambaa JF-Expert Member

  #17
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 363
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wacha mtoto wa mkulima nae asafishe macho anaweza pata japo trekta au mizinga ya nyuki akapeleka katavi
   
 18. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #18
  Oct 17, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,796
  Likes Received: 36,821
  Trophy Points: 280
  Wamekimbia nini hapa nchini??
  Yani mpaka huyu mamba kapata safari kipindi hichi??

  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
 19. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #19
  Oct 17, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,375
  Likes Received: 19,621
  Trophy Points: 280
  hajawashauri wafuge nyuki huko?
   
Loading...