Sheikh issa ponda,radio imaan,al nuur ni janga kitaifa...! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sheikh issa ponda,radio imaan,al nuur ni janga kitaifa...!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Tanzaniaist, Oct 17, 2012.

 1. T

  Tanzaniaist Senior Member

  #1
  Oct 17, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 162
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Asalaam wana Jf..!

  Tanzania tumekuwa kuwa na maadui wakubwa siku zote watatu..,maradhi,umaskini na ujinga..!
  sasa limezuka tatizo jingine la udini..,ambalo limeanzishwa na kikundi cha watu wenye maslahi yao binafsi wanaowatumia waislamu ili kufanikisha azma yao..,ni yao yao ni kuona vurugu za kidini,makanisa na misikiti yakichomwa moto, watanzania wenyewe kwa wenye..!

  Siku zote Radio Imaan na Gazeti la Alnuur limeacha kazi ya kuongelea mazuri ya dini ya kiislamu na kuwapa habari njema waislamu badala yake imekuwa ikichochea chuki baina ya wakristo na waislamu,..imekuwa ikihamasisha kwamba waislamu ni watu wa kuonewa na wakristo,wakristo ni watu wa kupendelewa na serikali mara mfumo kristo..,naomba nisisitize vyombo vya habari vilihamasisha mauaji ya kimbari kwa asilimia 80 huko rwanda na burundi..Na sijui kwanini serikali imechelewa kuvinfungia hivi vyombo vya habari kwani hata mkurugenzi wa redio Imaan sio hata mtanzania..! na inamilikwa na taasisi ya the islamic foundation inayopata misaada toka nnje


  Sheikh Issa Ponda..,huyu ndio amekuwa baba wa udini hapa Tanzania, na asili yake ni Burundi..,huyu amesifu watu waliochoma makanisa kule mbagala,,..na pia kuongea maneno ya kichochezi dhidi ya rais Mh.Dk.Jakaya kikwete..,
  na pia ndio aliyeongoza maandaamano mbele ya makao makuu ya polisi kutaka watu waondolewe gerezeni waliosusia sensa, na vile vile kumitishia maisha sheikh mkuu shabaan simba,
  na amekuwa akitumia mtaji wa waislamu kujinufaisha yeye kwa kupata misaada toka nnje..!


  [​IMG]  Napenda mwisho nikuu..,kama serikali itaendelea kumbeza huyu mtu...,machafuko yako njiani kutokea kwani huyu ndio amkuwa mhamasishaji mkubwa wa udini Tanzania..,na hata makuwa akichochea mganwanyiko baina ya waislamu baada ya kuaanda mipango ya kuipindua bakwata..!

  na vile vile ningeisihi serikali iifungie radio imaan na gazeti la alnuuur kwani ni ya kichochezi, na yamekuwa yakipotosha umma na kujenga chuki baina ya watanzania
   
 2. CHUAKACHARA

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #2
  Oct 17, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,825
  Trophy Points: 280
  Wanamlea anaeneza sumu ya kuvunja amani. If it were Christians being told to brake law by the religious leaders, one will not bother as christian followers will never accept things without reasoning. Sasa kwa ndugu zetu, ni tofauti. let us wait and see. Najaribu ku-imagine sehemu/mikoa zenye wakristo wengi kitatokea nini makanisa yakichomwa! Amani itavunjika. Serikali mdhibitini huyu shetani
   
 3. A

  Amani kwa wote Member

  #3
  Oct 17, 2012
  Joined: Sep 22, 2012
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  pumba tupu jipange
   
 4. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #4
  Oct 17, 2012
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,640
  Likes Received: 2,872
  Trophy Points: 280
  Ni kweli, Radio Imaan ni UJINGA, Al nuur ni MARADHI na Ponda ni UMASIKINI
   
 5. d

  deodath New Member

  #5
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 1, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hii issue ni very hot jaman i used to ask ndugu zangu na rafiki zangu kama wamedhamiria kweli kuyafanya haya mambo. otherz are honest. Kwa kweli waislam peanen elimu kuna wa2 wachache wanaotaka kuuharibu uislam. I remember last month nilikua Mvomero kijiji flani kinaitwa kipera 2nafanya study flan but shehe mmoja akawatangazia raia kwamba sisi 2lioingia kule kijijin ni freemason. Raia wote kesho yake walikua wana2kimbia 2likua almost 2pigwe. Jaman elim ya madrasa haitoshi jaribuni na elim dunia kidogo.
   
 6. Democracy999

  Democracy999 JF-Expert Member

  #6
  Oct 17, 2012
  Joined: May 26, 2012
  Messages: 947
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sheikh Farid ni Mwarabu mwanajeshi aliekimbia Jeshi Kuwait, ana passport zaidi ya 4 za nchi za Kiislamu. Tuweni makini nji imejaa maadui zetu.
   
 7. Jangakuu

  Jangakuu JF-Expert Member

  #7
  Oct 17, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 497
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33

  Mkuu sijakuelewa, ajipange tena nini, au unafurahia hiz fujo.?
  Jamaa anaelezea ili tuweze kukomesha fujo hizi ili tuweze kuishi kwa Aman,tupendane kama zamani.

  jangakuu@yahoo.com
   
 8. aba69416

  aba69416 Member

  #8
  Oct 17, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Mi Huwa najiuliza sana na sipati majibu Kuna watu wana chuki haswa na uislam na si vinginevyo.hawataki kuskia sauti ya waislam ikiskika kwa nini mtu usifanye mambo yako au kuleta hoja tofauti na kuzungumzia watu .kama huyu jamaa aliyoandika hii makala sijaipenda na sijui shida yake hasa ni nini .ila ukweli Uko palepale mtu wenye matunda ndo unaorushiwa mawe na si mchongoma.
   
 9. e

  emalau JF-Expert Member

  #9
  Oct 17, 2012
  Joined: Apr 25, 2009
  Messages: 1,178
  Likes Received: 273
  Trophy Points: 180
  Wanafurahia yanayotokea Nigeria, Afghanistan, Pakistan, Mali, Somalia nk, matokeo yake wanakuwa copycat wa makundi kama Boko haram, Alshaabab, Taliban na mengine kama hayo. Naanza kuamini kuna mtu mmoja aliniambia kuwa majini wa kuzimu wanaishi kwa kunywa damu ya binadamu sasa inaonekana yana njaa sana and therefore the blood is in big demand!!
   
 10. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #10
  Oct 17, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  Hawa si ndio babake bush alikwenda wakomboa?Duh..kweli kafir hana wa kumpa ahsante.Kwani mabwanyenye huamini ni wajibu wao.
   
 11. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #11
  Oct 17, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  Hizi ni kauli tuu za kuwalainisha.Waislam walivyo na hasira mtu kuharibu dini yao wasingewaacha hao jamaa ndani ya dini yao.Ila utetezi huo hutolewa wakati wengine wakiangamia duniani kote.Sijasikia Jihad kupitia Ftwa kwa akina ponda tka msikiti wowote.Anayenunua hii habari muislam asiyeijua dini na kafiri anayeishi vizuri na waislam.Otherwise basi wangesafisha dini yao na waaribifu wa uislma wangeushambulia kw akuchoma misikiti halafu tusikie hii habari vyema.
   
 12. D

  Dr.Who Senior Member

  #12
  Oct 17, 2012
  Joined: Jun 23, 2012
  Messages: 172
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  The same shit difernt day, wanapambana na mfumo kristo, mnaanza kuumbuka ???
   
 13. u

  ungonella wa ukweli JF-Expert Member

  #13
  Oct 17, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 4,227
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mataifa ya nje yanafurahi sana kwa migawanyiko hii ya kidini,maana walikuwa wanawaonea wivu watanzania sana kwa kuwa na amani na utulivu.ulevi wa dini umetuponza, masikini Tanzania!
   
 14. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #14
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  kwanza wameajiri makanjanja ambao hawana kazi wanasinda na kulala misikitini! unategemea nini??
   
 15. D

  Dr.Who Senior Member

  #15
  Oct 17, 2012
  Joined: Jun 23, 2012
  Messages: 172
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Tatizo watu wadini moja wali dominate hii nchi kwa muda mrefu wakawakandia wenzao ambao walilalamika kwa miaka mingi, hawakuwasikiliza, kibaya zaidi wakaita majina mengi ya kijeli na kibehi, sasa nao nadhani wameamua...Hakuna amani kama haki haitendeki
   
 16. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #16
  Oct 17, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145

  Wewe unatafutia haki jf??? unachekesha
   
 17. washa

  washa JF-Expert Member

  #17
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 8, 2007
  Messages: 476
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Katika hili la ponda, Kova umejitahidi kutengeneza intro ya kuridhisha kiasi, naomba uweke mwendelezo unaofanana na scipt yako!
   
 18. B

  BabieWana Senior Member

  #18
  Oct 17, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 173
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  subhana Llah unamwita sheikh wetu shetani wewe ni mshenzi tena mshenzi kabisa,
  kama ungekua rais ungewauwa waislam, nyie tuendelee kuwa bias na washabiki nchi hii mjiande kupigana vita, asikamatwe lema anaesababisha mauaji ya wandamanaji moro, iringa kushawishi watu na kuwanunulia viroba
   
 19. CHUAKACHARA

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #19
  Oct 18, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,825
  Trophy Points: 280
  Hapana siwezi kuwaua ndugu zangu waislamu! Ila nasema kuwa reactionary bila reasoning kwa baadhi ya waislam sio vizuri. Ponda ni shetani, wala sio mtu. Angalia, Sheikh wa Mkoa wa Dar ni Malaika yule anayeishi. Mtu mwema kabisa, sikiliza mafundisho yake. Ni mteule wa Mungu
   
 20. ICHUMBI

  ICHUMBI Member

  #20
  Oct 18, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Ni kwel, hatua za haraka inabidi zichukuliwe, vinginevyo serikali itakuja shindwa kudhibit machafuko yatakayotokea hapo baadae.

  Kwamfano, sasa ni makanisa na makanisa yakiamua kulipiza kisasi, ni msikiti kwa kanisa, kitachofuata ni nyumba ya muislam na nyumba ya mkirsto, wapi tunaenda huko. TAFAKARI CHUKUA HATUA
   
Loading...