Tujadili bounus ya m-pesa na salio katika simu zetu za voda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tujadili bounus ya m-pesa na salio katika simu zetu za voda

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Malyenge, Oct 16, 2012.

 1. M

  Malyenge JF-Expert Member

  #1
  Oct 16, 2012
  Joined: Jan 16, 2012
  Messages: 4,405
  Likes Received: 1,365
  Trophy Points: 280
  Good evening wakuu;
  Kwa muda mrefu sana nimekuwa nafuatilia bonus ya salio katika simu kwa mtandao wa Vodacom. Ni kwamba ukiongeza salio kwa njia ya M-Pesa unapata bonus ya asilimia 25. Kwa hiyo ukitaka kuuliza salio unabonyeza hivi:- *102# kisha unapiga. Majibu ya meseji kutoka mtandao huo yatasema hivi:- "Salio la akauniti yako ni: Akaunti kuu: Tsh 5000 (mfano). Nyomgeza ya M-pesa: Tsh 1250 (asilimia 25 ya salio uliloongeza kwa kuhamisha pesa kwenye akaunti ya mpesa).
  Sasa nimekuwa najiuliza inakuwaje kwenye matumizi ya salio katika simu? Yaani ukianza kutumia simu ni fedha ipi iliyomo kwenye simu ndio inayoanza kutumika, ni Akaunti kuu ama nyongeza ya M-pesa?
  Maana leo mnamo saa mbili na nusu usiku nilikuwa na balansi kama ifuatavyo: Akaunti kuu: Tsh 90.06 Nyomgeza ya M-pesa: Tsh 0. Nikaongeza salio la tsh 3000 kutoka katika mpesa niliyokuwa nayo. Kwa hiyo, salio la nyongeza nikapata asilimia 25 ( tsh 750). kwa hiyo kimsingi nilikuwa na salio la Tsh 3090.06 katika akounti kuu na Tsh 750 katika akaunti ya nyogeza ya m-pesa. Nikapiga simu kuongea na mtu mmoja naye ni wa mtandao wa vodacom. Nikatumia tsh 1701.32. Nilipomaliza kupiga simu kuongea na jamaa yangu nikabonyeza *102# kisha nikapiga kujua salio. Salio nikaambiwa ni: Akaunti kuu: Tsh 1388.74. Nyomgeza ya M-pesa: Tsh0 (yaani imekwisha!!!!)
  Sasa naomba kujiuliza maswali yafuatayo (ama naomba mnisaidie kujua mambo yafuatayo):
  1. Kwa nini salio la akaunti ya nyongeza ya mpesa linaisha lote haibaki hata senti moja?
  2. Kwa nini salio la akaunti ya nyongeza ya m-pesa ndilo linaanza kwisha kabla ya salio la akaunti kuu?
  3. Kwa nini salo la nyongeza ya mpesa lisichanganywe na salio la akaunti kuu ili kuwa na salio la jumla katika simu?
  Naomba niishie hapo ili niwape muda wa kunisaidia kuchangia na kutoa ushauri.
  Usiku mwema lakini sitalala leo kwa kusubiri jibu lenu.
   
 2. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #2
  Oct 17, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,291
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  VODA wezi , promosheni na offer zao nyingi ni za uwongo uwongo,
  Binafsi sijawahi note tatizo hilo kama kumbe hilo salio huwa linapotea bure, ebu ngoja nichunguze

  Lakini TIGO ndio wana offer za ukweli, weka vocha kwa TIGO PESA unapata mara mbili tena ni ya kupiga mtandao wowote!
   
 3. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #3
  Oct 17, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Unatuma laki 7 bonus unapata tsh.50/=
   
 4. M

  Malyenge JF-Expert Member

  #4
  Oct 17, 2012
  Joined: Jan 16, 2012
  Messages: 4,405
  Likes Received: 1,365
  Trophy Points: 280
  Hivi serikali hailioni hili?
   
 5. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #5
  Oct 17, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  nyie si mnajifanya mmeshtukia cheusichekundu?
  tokeni na hapa.
  mimi wananiudhi wananikata tsh 400 eti ni vodacom callertune niliwapigia nikawaambia sitaki wakanipa namba ya kujitoa wakati sijawahi kujiunga kila nikiipiga hiyo namba wananiambia nimekosea nijaribu namba nyingine.
   
 6. stineriga

  stineriga JF-Expert Member

  #6
  Oct 17, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 2,033
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  renew your line, tatizo kwisha.

   
 7. c

  ceasarphilly Senior Member

  #7
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 17, 2012
  Messages: 122
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  stealing our network
   
Loading...