mambo haya.....kama yasipoangaliwa katika imani za dini tutaelekea pabaya.....

Bata batani

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
3,179
3,539
jamani wana jf.....kusema kweli haya mambo tusipoyaangilia nchi inaweza kuingia kwenye vita kubwa ya udini

1.mihadhara ya dini......haya mambo ya mihadhara ya dini....ipigwe marufuku maana chanzo kikubwa ya mambo ya chuki za udini huanzia hapaaaaa........mfano mzuli hapa manzese barharesa,mbagala kizuiani na baadhi ya maeneo ya tanzania

2.kundi la watu flani kupandikiza chembe chembe za udini kwa chama fulani kipindi cha uchaguziii mfano chama flani cha siasa uchaguzi mkuu mwaka 2000 na 2005 kilipandikizwa chama cha udini

3.baadhi ya viongozi wa dini kutumiwa na wana siasa.............

4.kutoa elimu kwa wanachi wanaopenda kukaa vijiwe vya kahawa kuachana na tabia za kujadili habali za dini....mfano mzuli kariakoo pale shule ya uhuru.....

5.serikali kufungia vyombo vya habali ambavyoo vinaonyesha dalili za kushabikia udini............

6.serikali kutoa elimu juu ya watu kuheshimu imani ya mtu mwinginee .........

7.viongozi wanasiasa kutokutumia mtaji wa dini......katika kupata kura kipindi cha uchaguziiiii

8.viongozi wa dini....wote waisilamu na wakristo kupewa elimu ili wasikubali kutumiwa na wana siasa kipindi cha uchaguzi mkuu

9.kiongozi yoyote anaye tumia neno....dini anatakiwa kuangaliwa kwa umakini......

ndugu zangu mnaweza kuendelea kutoa maoni....yenu....

tuliyoya sikia kuhusu mbagala inatoshaaaaaaa.....cha umuhimu ni kusameana ndugu zangu watanzania wakrsito na waisilamu huu sio muda wa kupeana lawama.......
 
this is the permanent solution for mbagala crisis!!
 
Msiwe na wasiwasi yalianza Mwaka 2005 na yataiasha 2015 punde aliyekuja nayo atakapoondoka.
 
ndugu we uko wapi hapa tumeshafika pabaya watu kujiamlia watakayo ni ishara wamechoma makanisa mbagala,zanzibar ,serikali kimya radio yao na baadh ya watu kutoa matamko ya uchochezi sio hali nzuri ni tete
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom