Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,871
- 155,839
Watoto wa haraiki waliokuwepo kwenye maadhizisho ya kuzima mwenge mkoani shinyanga. Wameandamana mpaka ofisi ya mkuu wa mkoa shinyanga kudai pesa yao ambayo hawajalipwa. Wanaimba kuwa wanataka haki yao.