Luku matapeli? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Luku matapeli?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Tanzania Mpya, Oct 14, 2012.

 1. Tanzania Mpya

  Tanzania Mpya JF-Expert Member

  #1
  Oct 14, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 248
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 45
  Nimenunua umeme wa luku kwa NMB mobile, wamekata 20,000/- hawajaleta SMS ya units mpaka sasa, ila ilikuja tu page ya kuonyesha hizo units na ikaondoka ktk screen. Nikatuma 5000/- kwa Mpesa, ujumbe ukaja kwamba kiasi nilichotuma hakitoshi kwamba niongeze! Sasa naogopa kutuma hela zingine naona kama LUKU wanatapeli vile. Kuna mwenye maoni hapa?
   
 2. Iselamagazi

  Iselamagazi JF-Expert Member

  #2
  Oct 14, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 2,221
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Inaelekea ni muda sasa hujanunua token za umeme; I bet utakuwa unadaiwa service charges; kwa uzoefu wangu, NMB MOBILE ikiwa unadaiwa service charges na ukatoa kiasi kidogo cha fedha, mashine haiwezi kutoa SMS kuwa fedha haitoshi. Nadhani siyo utapeli, ni setting mbovu ya ATM Mashine.
   
 3. aye

  aye JF-Expert Member

  #3
  Oct 14, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 1,989
  Likes Received: 249
  Trophy Points: 160
  mkuu inawezekana labda kuna deni wamekata au service charges kwamba hujanunua mda kila mwezi wanakata kama 4680 ivi service charges
   
 4. Scofied

  Scofied JF-Expert Member

  #4
  Oct 14, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 199
  Trophy Points: 160
  wapo weekend mkuu....kesho watakutumia units zako...
   
 5. Tanzania Mpya

  Tanzania Mpya JF-Expert Member

  #5
  Oct 18, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 248
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 45
  Leo Alhamis, jamaa bado hawajanitumia SMS yoyote. NMB wamekula 20,000 na M-Pesa niliongeza 10,000 na kuwa na jumla ya 15,000! lkn kimya!
   
Loading...